mashindano ya kula ugali

YoungCorporate

JF-Expert Member
Apr 30, 2010
391
113
jamaa wa kwanza alikula ugali mkubwa sana na gunia la chumvi, huyu akapata nafasi ya 3. Wapili alikula na kikombe cha maji, huyu nusura atangazwe mshindi akawa wa 2. Alieshinda alikula ugali na ugali mdogo kama mboga.
 
nahisi ule ugali mdogo aliulowesha ukawa ka mboga fulani vile.
afu habari zilizotufikia baada ya kutoka mitamboni ni kwamba kumbe alikuwa anakumbuka siku aliyoalikwa ktk futali na mheshimiwa pale jengo jeupe opposite na ferry.
 
Back
Top Bottom