Masheikh wako wapi? Nchi inapotea

Makafiri wanafki sana nyie,pambaneni na mkatoliki wenu huyo sisi tukiongeaa si tunauwawa kabisa kama ponda tu alikua anatetea mali za waislamu alipigwa risasi leo tumuongelee raisi tena raisi huyu tufwee..
Kwa sababu waislam hampo pamoja katika kugombania haki zenu,,,
 
Unajifanya kiziwi wa upande mmoja wa dini fatilia utona uonevu uliopo asubutu Sheikh kuongea atawakaribisha wenzie Kina Kakobe sero na ninani kakuambia hilo baraza ni la waisilamu una changanya jumuia za kiisilamu na jumuia za chama tumuombe Mungu viongozi wageuke na kuongoza nchi kwa misingi ya sheria bila ubaguzi
Kama baraza sio la kiislam kwanini waislam hawakai pamoja na kulikataa,kwanini waislam wanamchagua mtu ambaye wanajua atawasulubu,waislam hawana umoja

Mungu katika kuran anasema "Jisaidieini nitakusaidieni", "Niombeni nitakupeni",lakini huwezi kumuomba mungu halafu umebweteka,mungu hawezi kukupa hata siku moja

Matatizo makubwa waislam wengi hawajui hata maneno ya kuran yanamanisha nini..
 
Siku hizi Kesi ya Ugaidi inawazamini?
Kesi ya Ugaidi haina uzamini,Tanzania kuna waislamu wangapi? kama watakaa pamoja sifikirii kama serikali ina uwezo wa kuwaweka waislam wote ndani na kuwafungulia kesi ya Ugaidi..

Woga ni adui mkubwa wa maendeleo..
 
Waislamu wana majanga yao na kila wakiyaongeo wanaonekana hawana elimu na ni wa dini,wanataka kufanya Tz ni nchi ya kiislamu. Sasa wakikaa kimya pia bado wanaongelewa!

Kama mtu akieleza yale yanayomsibu ambayo si haki anaonekana hana elimu ila mkiguswa wote ndiyo mnataka aongee,huu ni unafki.
 
Waislamu wana majanga yao na kila wakiyaongeo wanaonekana hawana elimu na ni wa dini,wanataka kufanya Tz ni nchi ya kiislamu. Sasa wakikaa kimya pia bado wanaongelewa!
Kwanini wakae kimya Mkuu,Waislam wana historia kubwa katika nchi ya Tanzania,ukimya ni woga,ukimya ni unafiki,ukimya ni dharau wakati unaona waislamu wenzako wanateseka
 
POST YAKO IMEJAA UDINI! SI MNASEMAGA MASHEIKH WANACHANGANYA DINI NA SIASA, SASA WAMENYAMAZA MNATAKA WASEME, TAFUTENI GLIS YA AINA NYENGINE ....

Hii post haijajaa udini mkuu,hii post imekosoa na kupongeza,sijasema kama dini moja ni bora kuliko nyengine katika hii post...,wewe ndio uantaka kuleta udini...
 
Hiyo hoja ni kweli viongozi wengi wa kikristo kama wanatapa upendeleo fulani hivi kwa serikali pindi wanapofanya mambo ambayo ni kinyume na serikali.

Lakini ishu inakuja kwa mfano hapa kwetu Tanzania kwa upande wa Kiislam taasisi kubwa ni BAKWATA, wao ndiyo wenye wajibu wakutoa muongozo, kutetea au kukemea vitendo vibovu vya watawala, lakini wao wamekuwa kama mawakala wa watawala kwa miaka mingi sana, shida inakuja hata ambao wamejaribu kujitoa Muanga kama Sheikh Farid/Mselem/Ponda na wengine wote mwisho wa siku wanawageuka na kuwa upande wa watawala. Huu unafki wanaofanya ni miaka na miaka.

Kama BAKWATA hawataki kujihusisha na siasa, basi wasiwe nasifia pia mambo mazuri ya wanasiasa!!! Sheria ya kusifia inaenda sambamba na kukosoa.
 
Kwanini wakae kimya Mkuu,Waislam wana historia kubwa katika nchi ya Tanzania,ukimya ni woga,ukimya ni unafiki,ukimya ni dharau wakati unaona waislamu wenzako wanateseka
Wewe unajua hao masheik yanayowakumbuka katika hii nchi? au kisa wewe vyuma vimekaza ndiyo unakuja kulalamika humu?
 
Kwa utafiti wangu wa mitandao kuna asilimia fulani ya waisalamu,hawataki kuiskia bakwata kabisa,time will tell
 
Wewe unajua hao masheik yanayowakumbuka katika hii nchi? au kisa wewe vyuma vimekaza ndiyo unakuja kulalamika humu?
Masheikh wanayakumba mengi kwasababu waumini,au wafuasi wako kama wewe waoga,uoga ni adui wa maendelo,kumbuka unazaliwa,unaishi,unakufa

Wakati wa kuishi ndio wakati wa kuamua unataka kuishi vp,kama utaishi kutokana na matakwa ya mtu fulani basi ujue huko sawa,waislam wanaishi kwa kufuata matakwa ya watu fulani,na ndio maana hawawezi kufanikiwa hapa Tanzania katika kuishi kama waislam wanavyotakiwa kuishi...
 
Chadema hamna pakushika sasa mna kimbilia kwa Masheikh na Ma askofu
 
Idadi ya mashekh wasema haki tayari imeshatangulia mbele ya haki, wengine wako rumande wanasota. Mashekh katika nchi hii wanafahamika harakati zao hivyo hawa waliopo na wamekaa kimya kuna wanachokitafakari, hali si nzuri sana
 
Masheh wengi kama sio wote wana njaa kali sana. Hasa Mufti Mkuu na huyu Sheh wa Dar, duuh hatari... Wana~.njaa ile mbaya
 
Makafiri wanafki sana nyie,pambaneni na mkatoliki wenu huyo sisi tukiongeaa si tunauwawa kabisa kama ponda tu alikua anatetea mali za waislamu alipigwa risasi leo tumuongelee raisi tena raisi huyu tufwee..

Mkuu huyo ponda kapigwa risasi nyingi kuliko Ponda? Toa utetezi mwingine, huu ni dhaifu. Viongozi wa dini wa kiisilamu waamke, wangalau Ponda amewahi kukemea lakini propaganda zinapigwa kwamba yeye ni mvunja amani
 
Back
Top Bottom