Mashamba yanauzwa Msowelo Kilosa

1800

JF-Expert Member
Dec 27, 2010
2,215
603
Wadau habari zenu!kuna mashamba yanauzwa maeneo ya Msowelo wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro!zipo heka kumi (10) zilizopo karibu na mto Msowelo hizi zinafaa kwa ajili ya kilimo cha umuagiliaji na zimesimama Tsh 280,000/= kwa heka na pia zipo heka 50 kwa ajili ya kilimo cha kawaida hizi zina anzia 170,000/= kwa heka,mwenye kuhitaji ani PM please!
 
Msewelo iko umbali gani kutoka Kilosa Mjini?
 
Wadau habari zenu!kuna mashamba yanauzwa maeneo ya Msowelo wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro!zipo heka kumi (10) zilizopo karibu na mto Msowelo hizi zinafaa kwa ajili ya kilimo cha umuagiliaji na zimesimama Tsh 280,000/= kwa heka na pia zipo heka 50 kwa ajili ya kilimo cha kawaida hizi zina anzia 170,000/= kwa heka,mwenye kuhitaji ani PM please!

Mkuu bei hiyo ya Tsh.280,000/= haipungui kidogo?
 
Mkuu vipi hizo za karibu na mto bado zipo?je naweza kupata tano zaidi ili ziwe 15?naomba ni PM number yako
 
Wadau habari zenu!kuna mashamba yanauzwa maeneo ya Msowelo wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro!zipo heka kumi (10) zilizopo karibu na mto Msowelo hizi zinafaa kwa ajili ya kilimo cha umuagiliaji na zimesimama Tsh 280,000/= kwa heka na pia zipo heka 50 kwa ajili ya kilimo cha kawaida hizi zina anzia 170,000/= kwa heka,mwenye kuhitaji ani PM please!

kijiji cha msowero ni kikubwa sana na kinavitongoji vingi je shamba lako liko kitongoji gani na nishamba linalotumika au bado poli na nilakusafisha?
 
Mkuu vipi mashamba bado yapo maeneo hayo?me nahitaji hizo za karibu na mtoni kaka!nikipata heka 10 zitanisaidia sana!
 
Kijiji cha Mkobwe,ni mashamba ya kusafisha
 
Mkuu vipi mashamba bado yapo maeneo hayo?me nahitaji hizo za karibu na mtoni kaka!nikipata heka 10 zitanisaidia sana!
Hizo za karibu na mtoni zimebaki chache,watu wanazimbilia sana za karibu na mto,hizo nyingine bado zipo za kutosha
 
Mkuu naomba ni Pm namba yako,hata hizo chache zitasaidia,kama zitakuwepo mpaka jumatatu nitakuja kuzilipia!si eneo ambalo halijaguswa na lenye rutuba ya kutosha lakini?maana najua Morogoro ni mkoa potential sana kama unataka kulima kwa mafanikio,ni PM namba yako tafadhali
 
Mkuu nimesha ku PM!kuhusu rutuba nadhani mwenyewe umeshajijibu mkuu,Morogoro nadhani ni among mikoa mitano bora yenye rutuba ya kutosha!na hayo mashamba ni mapya hayajawahi kulimwa na maeneo hayo kinalimwa kila kitu ingawa wengi upendelea mazao ya bustani maana ni rahisi kwa umuagiliaji!kwa hiyo utaona ni kwa kiasi gani rutuba iliyopo
 
Mkuu nashukuru mtu uliyeniunganisha nae amefanikisha zoezi langu,nami nakua mwana Msowelo nakuja kuanza kilimo cha vitunguu na hoho!nimechukua heka 7 pale karibu na project yako!nakushukuru sana mkuu
 
Pamoja sana mkuu,nami nashukuru kama umefanikisha zoezi,karibu shambani tuipate mali
 
Back
Top Bottom