mashamba....viwanja....nyumba na frem zinauzwa

freemoney

Senior Member
May 21, 2012
109
6
habari za saizi wana JF
haya mashamba yanauzwa pia kuna list ya bei zake

shamba Morogoro lipo mdaula heka 500 sh million 700

Kiwanja kipo bagamoyo beach kipo maeneo ya baarini heka 8 kipo baharini kabisa bilion 1.5
shamba lipo morogoro kisangasanga heka 500 milion 800

Shmba lipo kibaha kwa msabaha ndani heka 1000 kiasi sh. 1 billion

Nyumba bungoni daya estate, sqr mit. 600. Vyumba 6 .busness aprtment million 200

Nyumba ipo msaada garage bungoni , nyumba ya kuishi million 300
Kiwanja kipo kinyelezi kwa kujenga kanisa au shule ata nyumba heka 4 kiasi million 600 kimepimwa and kina hati
Kiwanja kipo tabata matumbi, KIKUBWA SEHEMU YA GARAGE KIASI MILLION 280.
Nyumba na kiwanja kipo mbezi beach pale jangwani beach dola 400,000
Go-down mbagala for sale mbagala kiburugwa kiasi dola billion 3

wasiliana nami kupitia 0714-463299 or 0716-369299
 
Hapo kwenye red, una hakika unachokinena?
 
Huyu freemoney hayupo serious kabisa naona anatuchezea akili tu humu ndani.
 
Huyu freemaso km si tapeli bahati, kuna uzi umu kabambwa anauza gari ya mtu gx100.
muwe makini huu unaweza ukawa wiz wa mtandaon, CHANGANYA NA ZAKO
 
Back
Top Bottom