Masikio Masikio
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 1,840
- 3,378
Washabiki wa Simba sasa hivi kila mmoja anachekelea kwa ushindi wa kesho dhidi ya Al Ahly yaani wanaingia na matokeo mfukoni kesho wakifungwa wataanza tena nyimbo zao za kumlaumu kikosi chao, Mangungu na Dewji
Ni hatari sana kuingia na matokeo mfukoni
Ni hatari sana kuingia na matokeo mfukoni