Masekretari wengi wa ofisini wanaliwa na mabosi ndio maana wanadharau wateja

Mohammed wa 5

JF-Expert Member
Jun 20, 2022
1,215
2,995
Habari za asubuhi Wana JF,

Ma secretary wa ofisi wana dharau sana kisa ni chakula cha boss, anafanya kazi anavyojisikia, majibu yao ni shortcut sababu anaona ameshamteka boss hawezi kufukuzwa kazi.

Nilienda field mkoa X ofisi niliofikia kulikuwa na secretary mmoja she is beautiful Ila alikuwa na kiburi na dharau sana, ukichelewa ofisini atakusema utafikiri kampuni ni ya baba yake, tulikuja kujua kumbe ni mali ya boss.

Ma secretary mfanye kazi sio kuwatega maboss, sio wote baadhi yenu ni Malaya kwenye ofisi mnazofanyia kazi kila mtu ushadate naye ofisi nzima ushamaliza.

Naomba kuwasilisha.
 
Habari za asubuhi Wana jf
Ma secretary wa ofisi Wana dharau sana.kisa ni chakula Cha boss anafanya kazi anavyojisikia majibu yao ni shortcut sababu anaona ameshamteka boss awezi kufukuzwa kazi...
Kumbe umechelewa kazini halafu unataka uchekewe??!! Kumbe bango lako la kinafiki tu, makosa yako mwenyewe. Acha kufanya kazi kwa mazoea!!
 
Habari za asubuhi Wana JF,

Ma secretary wa ofisi wana dharau sana kisa ni chakula cha boss, anafanya kazi anavyojisikia, majibu yao ni shortcut sababu anaona ameshamteka boss hawezi kufukuzwa kazi...
Secretary mwenye dharau na kujisikiaa.

Kwann usimtolee uvivu?

Mtolee uvivu ili huyo Boss wake ajue, una misimamo na unajiamin.

Kachanee laivu, kape mabango
 
Ila kuna ofisi zimekaa kimtego sana yaani usipokuwa makini boss unaweza ukawa unammega secretary wako daily humo humo.

Fikiria yaani mpo kwenye ofisi ina vyumba viwili..cha kwanza ni secretary then ndichi ndio kuna chumba cha boss...kimya full AC.!!! Yaani hapo secretary anaweza ku lock mlango then anaingia ndichi kwa boss!!! Shughuli inakuwa imeisha
 
Fata yako mikausho mikali toa salamu tu...Maboss wengi chenga vitambi vikubwa kwa ngono ndo maana ynafilisika .Mtu analipwa pesa kibao ila bado ana madeni lukuki kazi kuhonga na kuwapa jeuri wale wavaa vimini
mikausho mikali ni solution pia, mwanamke akili zake zilivyo ukimpa mikausho mikali lazima ataanza kuchanganyikiwa kwasababu ya kukosa attention yako. Mimi kuna dada wa supermarket alikuwa ana niletea kujisikia sikia nikienda kununua vitu, kuna siku aliniuliza swali kuhusu bidhaa niliyokuwa nalipia, jibu nililompa alianza kunishobokea ila mimi nikaendela kutokuwa na time nae mpaka sasa, nikienda pale ni mikausho tu. mwanamke attention kwake ndio kila kitu hata kama hauna uhusiano nae wa kimapenzi. ndio sababu utasikia maneno kama "huyu kaka huwa hasalimii akikukuta"
 
Ukimpa Attention , umempa anachotaka, atakuona wee ni boya tu.
 
mikausho mikali ni solution pia, mwanamke akili zake zilivyo ukimpa mikausho mikali lazima ataanza kuchanganyikiwa kwasababu ya kukosa attention yako. Mimi kuna dada wa supermarket alikuwa ana niletea kujisikia sikia nikienda kununua vitu, kuna siku aliniuliza swali kuhusu bidhaa niliyokuwa nalipia, jibu nililompa alianza kunishobokea ila mimi nikaendela kutokuwa na time nae mpaka sasa, nikienda pale ni mikausho tu. mwanamke attention kwake ndio kila kitu hata kama hauna uhusiano nae wa kimapenzi. ndio sababu utasikia maneno kama "huyu kaka huwa hasalimii akikukuta"
Yaani ukimpa attention umekwisha kama umempa point ..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom