Masaada: Wenyeji wa Iringa wapi sehemu nzuri ya kula bata jioni?

nafahamu mkuu na simaanishi wanawake mimi sio stile hiyo,ni chakula kizuri especially nyama choma na tubia tuwili.

Sent using Jamii Forums mobile app
nenda hapo iringa mjini,sehemu ipo opposite na soko, upande wa kulia, barabara ya kushuka chini, wanachoma sana nyama, mbuzi,kuku na ha ng;ombe, kiti baridi na chenyewe kinahusika. bia mimi sio mdau,!
 
Kwangu huu ni msimu wa kilimo huku kwetu nimeyasahau kidogo maeneo ya kula bata hapo town ila ikifika msimu wa mavuno nikumbushe nitakuelekeza kona zote kali,...yaan hautajuta kuwepo iringa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom