Mary XMass and Happy new year jamani hoi kwa mawazo

laussane

JF-Expert Member
Oct 8, 2009
255
131
Habari zenu wana jamvini, napenda kuwatakia heri ya mwaka mpya na nawapenda wote! wapendwa yamenikuta, ndoa changa, mume alinificha kama alioa nimeona divorce papers katika suitcase, naanzaje kumuuliza? ni yapi ya kuzingatia katika kumuuliza kuhusu hili? hakunijulisha before kama alishaoa na mpaka familia yake wanafaham kuwa alioa, mimi nimejua kupitia makaratasi! nipeni mwanga tu wa kumuuliza ni yapi ya kuzingatia?
 
kwa busara na hekima omba KIKAO na ye
pga kop pepa izo kwanza then zirudshe ulipozkuta.
tafuta muda nenda naye outng mwulize kwa upendo JUU YA MAKARATASI ULIYOYAONA..
AKIKUJIBU KWA BUSARA SIO ISSUE MWULIZE Y ALIKUDANGANYA/AJAWAI KUKWAMBIA JUU YA ILO kwanin?
INAWEZEKANA alikudanganya ili akupate na kwa nia njema tu alijua akikwambia ukweli usingekubali ndoa nae

km hana dalili za kukucht basi poa kuwa na aman nae tatizo ltakuja km atakua anaendelea na uyo mtalaka wake
pole lakin.
 
Always I like to enjoy what I have at the moment,so I can advise you to do the same,he is yours at the moment, dont start reminding him of the past cause you dont know what made him divorse the first one.So the good thing is for you to take time and find him when he is in a very good mood and ask him politely about his first wife,and even if he wont be ready to tell you, dont force him just be patient cause one day I m sure he will tell you.And you need to be happy for what you found cause others found Marriage Certificates.
 
kwa busara na hekima omba KIKAO na ye
pga kop pepa izo kwanza then zirudshe ulipozkuta.
tafuta muda nenda naye outng mwulize kwa upendo JUU YA MAKARATASI ULIYOYAONA..
AKIKUJIBU KWA BUSARA SIO ISSUE MWULIZE Y ALIKUDANGANYA/AJAWAI KUKWAMBIA JUU YA ILO kwanin?
INAWEZEKANA alikudanganya ili akupate na kwa nia njema tu alijua akikwambia ukweli usingekubali ndoa nae

km hana dalili za kukucht basi poa kuwa na aman nae tatizo ltakuja km atakua anaendelea na uyo mtalaka wake
pole lakin.

Huu mwaka 2010 , naona unauaga vizuri kweli mama!busara ipo juu!!!!
 
wajemeni,even though i would advise you not to concetrate on his past..sababu tayari unaye ni mumeo,ila kuficha kwake raises a lot of questions....ukinyamaza litakusumbua moyoni for the rest of your life.!!muulize kwa upole-mwambie haitaathiri mapenzi yenu kwa sababu mko pamoja tayari ila kwa nini ALIFICHA???
mnh tusikubali kuolewa mapema mpk tumjue mtu vizuri jamani,wengine wanatangaza ndoa chap chap ili kuficha maovu yao ya past anakutana na wewe ambaye unaona marafiki zako wameolewa na umri umekwenda basi Ndoa hiyooo"""...baadae unakuja kugundua ni bomu....inawezekana huyo mumeo ALISHINDIKANA kwa tabia yake kny ndoa ya kwanza...akikueleza kuhusu divorce yake utamkimbia!!labda he has learnt his lessons kutoka kny hio ndoa ya kwanza..na yuko tayari kuchange his ways kwa ajili yako....kama hauna matatizo naye usilitilie sana mkazo wewe kula maisha..ila usisahau kumuuliza akuambie ukweli...you deserve to be told the truth...
 
Paka mweusi, Rose1980, pauline. Ushauri wenu mzuri sana nitapenda kuona laussane anaufuata, simlaumu huyo jamaa kwani nilisha wahi kupata msichana nilimpenda usipime, nilipomueleza nina mtoto wa miaka minne kilichofuata ni kupigwa chini iliniathiri sana so live with it, ask. sababu next time i will do the same (hide my kid).
 
Kaka ambae umemtamkia mdada una mtoto akakukimbia hiyo isikuumize mpenzi kwani huyo dada alikua hakufai, ni vyema umwambie mwenza kabla hamjaoana ili achague kunyoa au kusuka kwan m2 ukimficha atakua anamchukia sana mtoto wako anakua anawaza umeficha mangapi. Na dada mtoa mada shukuru huyo mumeo alioa halafu ameacha kwani wanaume wa hivyo huwa wazuri kwani anakua tayari ameshapitia purukushani za ndoa
 
hajatumia uungwana hata kidogo alitakiwa akwambie kweli kuhusu past zake ,muombe kwa upole muongee hilo swala ili moyo wako uwe na amani
happy new year laussane
 
Back
Top Bottom