IsangulaKG
JF-Expert Member
- Oct 14, 2010
- 706
- 386
Marufuku Ushoga Nchini Nigeria Katika kile kinachoonekana kuikomoa Uingereza na kuachana na utumwa wa misaada yanye masharti ya kipuuzi, hatimaye Bunge la senate la Nigeria imepitisha Sheria ya kutoruhusu ushoga Nchini humo.
Hatua hiyo imekuaja wakati Nchi za ulaya zikizishinikiza nchi za Afrika kuruhusu ushoga kama sharti la kupata misaada. Mitandao ya Mashoga nchini Nigeria na Kwingineko wameendelza vuvuzela la kupinga sheria hiyo...lakini ndoo ishakula kwao hivyo! Bofya Hapa Kusoma Zaidi