Marufuku nzi kuruka ndani ya kampasi za vyuo vikuu vya CHINA

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Serikali ya China imetoa agizo kwa watendaji wa vyuo vikuu vya umma nchini humo kwa kuhakikisha kuwa hakuna nzi atakayepaswa kuruka ndani ya kampas hizo,na endapo kutakuwa na nzi wanaruka basi wasizidi wawili,lengo ni kuongeza kiwango cha juu cha ubora wa vyuo hivyo.
Sosi:MTANZANIA
 
Back
Top Bottom