Marufuku kuhesabu wamasai sensa> ukitia mguu tu njale

mangifera

Member
Oct 15, 2011
47
34
Wazee wa Kimasai (MALEIGWANAN) wamepiga marufuku mtu yeyote kufika katika maboma yao kwa ajili ya sensa vinginevyo watakiona cha moto.

Hii ni kutokana na ukweli kuwa serikali imepeleka wawekezaji manyara na Arusha ambao wanawaua wamasai kila siku bila hata kuchukuliwa hatua yoyote. Na hata wahusika wanapokamatwa siku mbili hurejea mtaani. Hivyo zoezi la sensa linaonekana kwa wamasai kuwa lina lengo la kujua wako wangapi ili wawamalizie kabisa.

Source: ITV habari jana.
 
Back
Top Bottom