Mndundu
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 233
- 34
Katika pitpita zangu huko nba.com nimeona jina la Mtanzania Martin Kolikoli akiwa amewekwa katika kitengo cha wachezaji wa kimataifa waliopo katika NBA draft ya mwaka huu. Niko interested kumjua yeye kama mchezaji (amefanya nini uwanjani, anaweza kufanya nini uwanjani). Kama kuna video clips zinazomuonyesha akiwa katika gemu itakuwa fresh zaidi au achievements zake katika mpira wa kikapu wa bongo. Mwisho ni ana chance gani kuingia nba mwaka huu?
Link ya nba yenye list ya wanaoshiriki 2009 Draft
NBA.com: Early-entry candidates withdraw from 2009 NBA Draft
Link ya wikipedia yenye habari kidogo kuhusu Kolikoli
[ame=http://en.wikipedia.org/wiki/Martin_Kolikoli]Martin Kolikoli - Wikipedia, the free encyclopedia[/ame]
Nawakilisha

Last edited: