L lifelines Member Dec 16, 2009 51 0 Jan 1, 2010 #1 MARK II in good condition low mileage for Sale for 6,000,000 Shillings only.4 S Engine-
Sugar wa Ukweli JF-Expert Member Jun 25, 2009 373 37 Jan 1, 2010 #2 lifelines said: MARK II in good condition low mileage for Sale for 6,000,000 Shillings only.4 S Engine- Click to expand... Nafikiri picha ya gari na Ado meter reading zingewekwa ingekuwa vizuri zaidi!!!
lifelines said: MARK II in good condition low mileage for Sale for 6,000,000 Shillings only.4 S Engine- Click to expand... Nafikiri picha ya gari na Ado meter reading zingewekwa ingekuwa vizuri zaidi!!!
M Mwessy Member Jan 20, 2009 14 0 Jan 1, 2010 #3 bado kabisa hujaeleza kitu. Ni ya mwaka gani? Engine Capacity? Imetembea Km ngapi? Inatembea au just good condition?
bado kabisa hujaeleza kitu. Ni ya mwaka gani? Engine Capacity? Imetembea Km ngapi? Inatembea au just good condition?
L lifelines Member Dec 16, 2009 51 0 Jan 3, 2010 Thread starter #4 Ahsante , Capacity 1800 , imetembea 170,000 kms, ni ya 1994. Inatembea na iko kwenye hali nzuri
Mwazange JF-Expert Member Nov 16, 2007 1,056 81 Jan 3, 2010 #5 Haya mkuu, tuuzie mbuzi kwenye gunia tu......