Marekani yatuhumiwa kuchochea vita

Naona umepata ka vocabulary kapya.

Utumbo. lol

Wewe mpaka koran umeshaiita, utumbo! Sasa unadai eti Saudi King is the western toilet paper does represent muslims views. Hii kufuru utaiacha lini weye!!

Utumbo mwingine..hii voc. ni kwa ajili watu wasio na hoja kama wewe.
 
Utumbo mwingine..hii voc. ni kwa ajili watu wasio na hoja kama wewe.


Mkuu; Hawa watu kweli mbumbumbu, wanuliza maswali ya kibwege kichizi!! mpaka leo hapa jf watu wanauliza uislam ni nini? Ayatollah ni cheo au jina? kwanini wasi-Google? JF inazidi kuteremka hadhi kwa watu kama hawa, hapa jf tunadadisi mambo muhimu magumu kwa faida ya nchi na dunia

Simply; Amerika anapalilia vita duniani, uitaji kuwa muislam kulielewa hili, hata wakiristo na wapagani wengi wanelewa, wala hii sio rocket science wajameni!!

Mamkonde, Maxsimba na wengine, wanavichwa vya ajabu, hata ukiwaambia 1+1=2 watajichanganya, uwezo wao wa kuelewa simply ni mdogo. Tusichoke tuzidi kuwaelimisha!!
 
Viongozi wa dini zingine bana. Badala yakufundisha watu deen, sasa ni wana siasa. Yaani nchi imesilimu na kuwa na deen.

Sasa sijui Muislamu ni mfuasi wa nani, allah, Muham-mad, Islam, au Koran?
hujui mifumo ya utawala ya kidunia,afterall, hivi wewe ni mfuasi wa nani?
KAKOBE? YESU?BIKIRA MARIA? ROHO MTAKATIFU?YEHOVA? au BIBLIA??????
 
Back
Top Bottom