Marekani kuweka wazi kuhusu UFOs viumbe wa angani Aliens

Eugen TZA

Member
Aug 7, 2023
61
98
Idara ya ulinzi ya Marekani mapema wiki hii wameweka wazi tovuti mpya ambayo itakwenda kuonyesha videos na maelezo ya ukweli kuhusu vyombo vya angani vinavyosadikika kutoka Nj'e ya sayari ya Dunia vikihusishwa na viumbe wa ajabu kutoka angani Aliens (UFO's).

Ukurasa huu ni wa kulipia unaofahamika kama "One-Stop-Shop" ambapo utakua na taarifa na maelezo kuhusu videos zinazosemekana ni za viumbe hao wenye akili kubwa kuliko binadamu, Na tayari wamechapisha baadhi ya video zikiwa na kichwa cha habari "unclassified" au "Unresolved" ikimaanisha Haijapunguzwa, Haijatatuliwa.

#PeaceOverInterest
 
Kama diyo uongo basi tuwekee hiyo website link hapa
 
Back
Top Bottom