Marekani: Kaka na Dada wameshinda shauri la mahakama kuhusu kufunga ndoa

Status
Not open for further replies.
James Banes (41) na Victoria Banes (38 ) ni ndugu wawili wa familia moja pia ni wapenzi kutoka New Jersey Marekani, wameshinda shauri la mahakama kuhusu kufunga ndoa.
Ndugu hao wameshinda shauri hilo baada ya kukaa miaka 10 kupambania kuhusu kupitishwa kwa sheria hiyo kwa kaka na dada kuona wenyewe kwa wenyewe.
James Banes ambaye ni kaka wa familia hiyo amesema, "alikuwa anaishangaa mahakama kukubali mtu kufunga ndoa na binamu yake na si mtu na dada yake ilihali kuwa hata Adam na Hawa walifanya hivyo kwa nini leo isiwe kwa sisi ndugu".
Pia Victoria Banes naye ameendelea kusema muda wote walikuwa na ndoto ya kuwa na familia kubwa na ndoto hizo zinakuja kuwa kweli baada ya kushinda kesi hiyo na kwa sasa ni mjamzito anategemea watoto mapacha.
Baada ya kushinda kwa kesi hiyo ndugu hao wamesema walifurahi sana kusikia hivyo na kupitia wao, watawahamasisha mamilioni ya wamerakani kuwa na mahusiano na ndugu zao.
Sheria nyingine wanaozitunga sijui huwa wanawaza nini.View attachment 1185848
Vitu vya kutungwa tungwa tuuuu
Screenshot_20190820-102800.jpeg
 
  • Thanks
Reactions: Qwy

Liberals are eating themselves!

Wametoka Gay rights sasa wamevamia incests!

Sawa,we will see!
 
CHADEMA hawa. Ndiyo zao kabisaaaaa
 
sijui hisia zinatoka wapi...atleast hata ingekua mtoto wa mjomba au ba mkubwa..ila hao wa toka nitoke..Hata kinyaaaa naona

Wakipitisha ya ndugu wa mbali kuoana Tz ntakua wa kwanza kuoa ndugu zangu,maaana si kwa mahaba yale..Tena ntaoa double double
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom