Marekani imkamate Putin haraka na imuhukumu kwani anaharibu amani ya dunia

mimiamadiwenani

JF-Expert Member
Mar 9, 2022
5,411
7,016
Salamu off kidogo.

Iraq, Libya, Syria, Vietnam, Afghanistan, Cuba n.k
Hayo mataifa yote yalikipata cha mtema kuni pale yalipojaribu kutofuata matakwa ya Marekani.

Yalichakazwa vibaya TENA NDANI YA MIPAKA YA NCHI ZAO. Marekani hakuwa na huruma, aliua baadhi ya viongozi wao vifo vya aibu tena NDANI ya ardhi zao, refer Libya.

Sasa kwa nini wasitume mabomu wavuruge amani na wamkamate Putin kama kuku wamuue? Mbona hali imekuwa tofauti kwa Russia?

Russia, N korea nk wanatamba na kumtukana Mmarekani matusi ya nguoni. Ule u super power wa zamani umekwenda wapi? Refer Kim alivyomtusi Rais Trump

Je, Russia ingekuwa nchi kama Tanzania mpaka muda huu ingekuwa na hali gani?

Marekani ioneshe sasa u super power wake, na nafasi ni moja tu hii ili dunia tuamini na ubishi tuumalize.

Imuondoe Putin na Kim haraka, kama ilivyofanya kwa mataifa tajwa hapo juu.

Tumechoka maneno na mipasho ya US tunataka vitendo. Putin anaichafua amani ya dunia.

Kim anaichafua amani ya dunia.

Wakati ni sasa wa kumaliza ubishi wote wa miaka na miaka.
 
Kwa mawazo hayo aisee wewe kama ni Baba wa familia basi hio familia yako inaongozwa na mtu wa hovyo sana 😌
 
unataka kuona DOOM DAY siku dunia inalipuka kama puto.

Pata picha vita vya pili vilivoanza na vita ya kila mtu atakavoachia nyuklia kwa mwenzake
Hata kama kila mtu akiachia nyuklia dunia haiwezi kulipuka yote. Na watu hawawezi kamwe kufa wote
 
Back
Top Bottom