Happy easter wakuu wa jukwaa hili.
Hivi wakuu neno marashi na neno manukato yana maana moja?
Mim nimekua nadhani kuwa maneno hayo yanamaanisha perfume kwa kiingereza lakini sina uhakika kama niko sahihi.
Ningependa kufahamu kama niko sahihi na kama siko sahihi jibu sahihi ni lipi.
Pia neno roof kwa kiswahili ni paa.
Je neno ceiling board kwa kiswahili ni nini?
Neno ice kwa kiswahili ni barafu.
Je ice cream kwa kiswahili ni nini?
Lugha yetu ni tamu,najivunia kuongea kiswahili na kuitwa mswahili ndio maana napenda kujifunza kiswahili ili niwe mswahili anayekijua vizuri kiswahili.
From Queen to you
with lots of love.
Mbarikiwe.