Marafiki

kudos bebii ndo linalotakiwa jibu kwa yasmin
ANATEGA WATU HUMU? RAHA YA KUCHATI NI UKIMTUMIA MTU SMS AJIBU SASA AKITUMIWA SAA NNE MZEE YUPO ITAKUAJE? MBONA UNATAFUTA MATATIZO YASMINI DEAR? KUNA WATU WANA UKAME UMU? WATAHAMIA WENZIO TUNA NAFASI GODOWN NA TUMEWASHINDWA
COUNT WHAT U HAVE NOW

Achana na makelele ya watu, kwani ukiolewa ndio huruhusiwi kuchat? kinachotakiwa ni ukweli kwa mumeo na kwa rafiki unaye chart nae. Halafu sijaona sehemu Yasmin alipo sema marafiki wa kiume tu amesema marafiki! jamani mbona tunamtisha. Labda niulize kitu kimoja unataka rafiki mwenye familia (oa) au yeyote? nijibu kwanza hili....

i just wonna chat with any1.ladies gentle,married,single any1.thanx 4 supporting me.atleast u understood me

Nimekuelewa vizuri sana mimi ninaamini, usimtathini mtu kwa kumuangalia au kumsikia hujui kilicho ndani yake, sio killa rafiki lazima atongozwe, sio kila anayekwenda bar ni malaya sio kila anayekuchekea anakupenda, sio anaye kula maharagwe anayapenda, anakuja kwako sababu hana uwezo, anakitambi ana hela, anavaa kimini ni malaya nk nk. I have so many friends, of different ages, sex and status. Go on mydia get some friends you will enjoy yourself.

thanx ma dea

Similar Discussions

Back
Top Bottom