Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,777
- 3,614
Maini yanamenywa? Since when?
Maini yanamenywa? Since when?
Coriander kwa kiengereza na giligilani kwa kiswahili
Thanks very much farkhina ama kweli elimu haina mwisho.
Sometimes tunapika vyakula visivyokuwa kuwa na mvuto kwa kukosa tu knowledge wakati vikorombwezo ni afordable.
Dada Farkhina us mastard kazi yake nini? Kuna mtu alininunulisha lakini hatukufikia topic yake
Mastard sana napikia mango pickle au kukaangia mchuzi ila zina taste ya uchungu kidogo.... Pis inaleta harufu na ladha nzuri katika chakula vipi umenunua zile seeds?
Ni kikopo flani cha njano sijawahi hata kukifungua nahisi ni ya unga.
Huwekwa kwenye vyakula gani?
Dah na hilo somo la mango pickle uje utufundishe na ile chachandu (pilipili ya kupika).
Dak 5 hadi 7 yanaiva kiasi cha kutosha kweli?
Mimi huwa nayachemsha kwanza kwa yale chumvi,mafuta na ndimu kwanza kama dk 15 halafu ndio natia hivyo viungo vyote napunguza moto viive taratibu hadi vikiiva kabisa nakoroga kupata lile rojo, naipua.
Maini yasipoiva ni hatari, yana magonjwa.