Wakuu hata makala za Mihangwa kwenye gazeti la Raia Mwema amewahi kuileza hii historia vizuri kabisa kwamba kwenye mapinduzi ya znz Karume hakushiriki moja kwa moja ila tu alikuja kujikweza na pale alipohisi wale wanamapinduzi halisi wanastahili sifa zaidi yake yeye akaanza kuwawekea mizengwe!