Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 3,610
- 8,736
2010 tarehe 17 December ndio ilikuwa mda rasmi nchi ya Tunisia ikijikuta wananchi wanaongea lugha Moja.
Kisa kinaanza hivi. Ugumu wa maisha kuwa mkubwa,rushwa ndani ya serikali kukisiri,ukosefu wa ajira,uhuru na ukandamizaji wa watawala kuwa mkubwa.
Kijana mmoja baada ya kumaliza chuo kwa shida na yeye ndio tegemezi,kukosa kazi na ugumu wa maisha ikabidi kuingia mtaani kufanya biashara za machinga.
Huku na kule migambo ya Jiji ikamkamata na kumpora biashara yake kitendo kile kilimpa uchungu sana na kuamua kujimiminia mafuta na kujichoma moto mbele ya umati huku akitoa ya moyoni kuhusu serikali mbovu.
Jambo lile kumbe Kila mwananchi wengi walishachoka na uvumilivu ndio mwanzo wa mapinduzi na maandamano makubwa yaliyo chochea kuondoka serikali mwaka 2011 January 11.
Ujumbe: Ili punje Moja ya ngano iweze kuzalisha punje nyengine lazima ife.
Hipo siku cheche Moja itawasha moto ambao kuzimika ndio mwisho wao.