Mapinduzi ya Kijeshi yadaiwa kupangwa kutokea Congo Brazzaville. Serikali yakanusha

Kuna nabii mmoja alitabiri haya mapinduzi ya kijeshi kwenye mataifa ya Afrika na Kwa Tz alisema aliona wananchi wakiandama kupinga serikali kwamba imetufikisha kwenye maisha magumu. Na ndiye alitabiri kuhusu matokeo ya chanjo ya COVID 19 na kusema yote hayo yataanza kutukia katikati ya 2023 kuelekea 2024/25. Na itakapofika 2024 serikali nyingi zitaanguka. Na kuhusu korona waliochanja watakuwa ktk Hali mbaya kuliko korona yenyewe na kitakuwa na vifo vya ghafla. Huyu ndiye alitabiri pia msiba wa Hayati Magufuli. Naona Kwa upande wa mapinduzi ya kijeshi Kwa mataifa ya Afrika,Ngoma imeanza kujibu! Tusubiri yajayo! Zaidi ni kuomba Toba na rehema kwa Mungu atuepushe na dhahama hizi.
Ni nani hyo nabii?
 
Sidhani... Tungelipata habari sasa. Kwa kusoma siasa za Congo-Brazza, iko tofauti sana na nchi zingine kwenye Sahel au Gabon, n.k. Nguesso (and company) amekitisha Congo-Brazza shwari kwa muda mrefu. Sio tofauti sana na Musevini huko Uganda. Tuwe makini kwa uchunguzi za habari. Mbadala ni kusoma historia na muktadha wa kijamii.
 
Back
Top Bottom