Mapenzi ya Sekondari – Sweeter Than Sweeter!

Ngwanakilala

JF-Expert Member
Jun 25, 2011
774
1,456

Aisee mapenzi ya sekondari yalikua sweet sana. Wakati huo mtu ulikuwa unapendwa just for being yourself. BF/GF alikuwa haihitaji chochote kutoka kwako other than your love and companionship. Mapenzi yalikuwa na upendo ulio sweet and innocent. Wasichana wa sekondari walikuwa so sweet. Hamna maperfum wala nini wananukia maziwa ya mama zao- no make-ups no wigs. Kila mtu hajui mapenzi kiivyo wote tunajifunza. Unyumba haukuwa muhimu kiivyo cha muhimu zaidi kilikuwa company na friendship. Nilikuwa napendwa na visichana vizuri, innocent, sweeter than sweeter - bichwa lilikuwa kuubwa. Tunaandikiana barua na kutumia vikadi. Life was like a movie. I will never forget those good old days.

Sasa mapenzi ya utu uzima ni vurugu tupu na kubanana na mapaka shume na mashankupe. Duuh!

umeshasema mapenzi ya sekondari.pengine ulikua huja...he.so hukua unajua utamu wa penzi.

Mkuu Chuji unfortunately mimi nilikuwa nimeshaanza vurugu za unyumba. I was fully aware of love. Ila nilipenda ile innocence!

nimekusoma ngwana hata mi nakubali ila nilipenda tu nijue ulikua katika hali gani.kwa sasa there z no tru lv wa2 wako kipesa zaidi

waliosoma shule za wavulana watupu au wasichana watupu je?????

Hao walikuwa wanaandaliwa madisco na oposite sex na sheria ilikuwa wasichana hawaruhusiwi kuvaa chupi kwenye huo mtoko.

wasichana watupu yalikuwa yanaandaliwa madisco na opposite sex,ila hio ya kusema sheria inawekwa wasivae chupi mkuu umezidisha chumvi kidogo kama sio magadi,nani sasa anayekagua kuwa wameenda uchi???hii hata mtoto wa miaka mitano humdanganyi...............

nimekusoma ngwana hata mi nakubali ila nilipenda tu nijue ulikua katika hali gani.kwa sasa there z no tru lv wa2 wako kipesa zaidi

Jestina hiyo sheria haikuwekwa na mtu ilikuwa ni kama silent agreement na si kila mtu alikuwa anaifuata. LOL!

Kweli 2lio soma jinsia moja ndivyo ilivyo kuwa japo vitoto vya xlu za kitaa vili koma maana walikuwa wana2kubali kinoma.

Aisee mapenzi ya sekondari yalikua sweet sana. Wakati huo mtu ulikuwa unapendwa just for being yourself. BF/GF alikuwa haihitaji chochote kutoka kwako other than your love and companionship. Mapenzi yalikuwa na upendo ulio sweet and innocent. Wasichana wa sekondari walikuwa so sweet. Hamna maperfum wala nini wananukia maziwa ya mama zao- no make-ups no wigs. Kila mtu hajui mapenzi kiivyo wote tunajifunza. Unyumba haukuwa muhimu kiivyo cha muhimu zaidi kilikuwa company na friendship. Nilikuwa napendwa na visichana vizuri, innocent, sweeter than sweeter - bichwa lilikuwa kuubwa. Tunaandikiana barua na kutumia vikadi. Life was like a movie. I will never forget those good old days.

Sasa mapenzi ya utu uzima ni vurugu tupu na kubanana na mapaka shume na mashankupe. Duuh!

This is kinyume cha sheria!!Student u better stay away from this insanity!

Hayo yalikuwa enzi za mwalimu na sasa je mapenzi hayo ya sekondari bado yapo au na wao wako kipesa zaidi?

waliosoma shule za wavulana watupu au wasichana watupu je?????

tena tulokua boyz tupu ndo ilikua raha zaid.. esp pale unapopata barua toka kwa kifaaa chako .. imagine unapata barua toka skul kama msalato... au kilakala.. daaahh ilikua raahaaa..

kha! na ww kwa kupenda waschana magenius,lol

tena tulokua boyz tupu ndo ilikua raha zaid.. esp pale unapopata barua toka kwa kifaaa chako .. imagine unapata barua toka skul kama msalato... au kilakala.. daaahh ilikua raahaaa..

Dah,umenikumbusha enzi zile za kuandikiana barua,....
nikiwa pale Nsumba boys secondary,....unaandika barua kwenda Nganza girls secondary,...
wala ulikua hauhitaji posta,unapanda mlima tu (kitintale) then unakutana na wadada wabishi,....
mna kabidhiana vitu,then hadi kesho tena dah,we acha tu ule mlima pale mwanza umeona mambo mengi
sana,sijui kama yapo bado

Sasa mapenzi ya utu uzima ni vurugu tupu na kubanana na mapaka shume na mashankupe. Duuh!

mmmh pole sana ndugu, mambo yamebadilika sana nowdays, hebu jaribu kutafuta wale wasichana wa zamani kidogo wanaweza kuwa bado na zile tabia ulizozitaja.... ! zamani ilikuwa raha sana mnaenda kucheza disko na wavulana wa shule jirani ukumbi wa chakula cku hiyo viti vyote nje! waschana mnakaa wavulana wanakuja kupiga 'arrow'! wanainama na mkono mmoja kifuaani eti wanakuomba kucheza, unaumauma vidole ndio unainuka... akikupenda ni barua za kumwaga... ck hizi ukianza tu kujieleza unakatishwa acha longolongo wewe sema shida yako na una sh ngapi, tena ukiwa na gari aaaah mbona una mshenga ukilipaki tu wanajazana kama nzi na kinyesi wala hutumii nguvu nyingi kuwazoa..

Back
Top Bottom