Mapenzi noma... Mapenzi ya uizi matamu. Mwisho wake nini???

Nimeolewa na yeye kaoa.....
Ila mme wangu hatuivi kabisa na yeye mke wake tofauti kabisa

mliosababisha hivo ni nyie wawili ila unavofanya sio vizuri ukimwi tu ndio utawaumbua nawaambia.mke wa huyo jamaa atatafuta mwingine wanaoiva ,na mme wako naye ana mwingine anayeiva naye ndio sababu kakuignore na hao wapenzi wa mke wa hawara yako na hawara wa mme w tu wana wapenzi wa o wanaowaamini kuwa watawaoa sababu yule ni mke namme wa mtu hahahahah umeona huo mtandao.TULIZANA!!!!
 
Strawberry why not ufikie kufanya dhambi kwa ajili ya mwenza wako,
as well as mmekutana wote meno 32 kinywani kila mtu ana akili zake na maamuzi yake hivyo hivyo.

Kwani hilo tulizo la kuiba ndo suluhu ya matatizo yako ya ndoa.

jamani za mwizi kweli 40 ila kuna wakati mwingine wenza wetu wanatusababishia kutembea nje ya ndoa jamani.tunahitaji neema za Mungu tu.
 
Last edited by a moderator:
Nimeolewa na yeye kaoa.....
Ila mme wangu hatuivi kabisa na yeye mke wake tofauti kabisa

1. Mko wangapi kwenye limtandao lenu? Tulizaneni.
2. hhehheheh nacheka mbavu sina hapo kwenye bold...ndio anavokudanganya? Angemuoa in the first place?
3. Ushauri wangu - achaneni na hao spouse wenu oaneni muone kama na nyinyi mkiwa pamoja 24/7/365 kama mtaendelea kuivana hivo hivo!:mad2:
 
Kupenda mume wa mtu aliyekupenda mpaka mwisho kuna namna ya kuzuia? au tuache nature itimize mapenzi yake........... Jamani huyu mwanaume hataki tuachane...... Nampenda.
:israel::crazy:

Hapo kwenye red panahusika saaana....
Soma andiko hili hapa kuhusu zinaa...


01 Wakorintho 06:18 - 20 inasema...

18 Ikimbieni zinaa. Kila dhambi aitendayo mwanadamu ni nje ya mwili wake; ila yeye afanyaye zinaa hutenda dhambi juu ya mwili wake mwenyewe.
19 Au hamjui ya kuwa mwili wenu ni hekalu la Roho Mtakatifu aliye ndani yenu, mliyepewa na Mungu? Wala ninyi si mali yenu wenyewe;
20 maana mlinunuliwa kwa thamani. Sasa basi, mtukuzeni Mungu katika miili yenu.
 
Mmmh Ledwin ... Nifanyeje niweze kuachana naye sasa??? Tambua tuko vizuri mmno....

Hapo kwenye blue, wewe umeolewa, hivyo umefungwa kwa mumeo. Utakuwa huru tu pale mumeo atakapofariki.

Soma andiko hili hapa.

01 Wakorintho 07: 39 inasema...

39 Mwanamke hufungwa maadamu mumewe yu hai, lakini ikiwa mumewe amefariki, yu huru kuolewa na mtu ye yote amtakaye; katika Bwana tu.
 
Hapo kwenye red panahusika saaana....
Soma andiko hili hapa kuhusu zinaa...


01 Wakorintho 06:18 - 20 inasema...

18 Ikimbieni zinaa. Kila dhambi aitendayo mwanadamu ni nje ya mwili wake; ila yeye afanyaye zinaa hutenda dhambi juu ya mwili wake mwenyewe.
19 Au hamjui ya kuwa mwili wenu ni hekalu la Roho Mtakatifu aliye ndani yenu, mliyepewa na Mungu? Wala ninyi si mali yenu wenyewe;
20 maana mlinunuliwa kwa thamani. Sasa basi, mtukuzeni Mungu katika miili yenu.

@Mu - Israeli sidhani kama anakuelewa lol .. Watu wa namna hii washa amua kujilipua.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Tafadhali Acha Hio kitu. Na Tunavyoendelea kujitafakari kumaliza huu mwaka, ni wakati wa kukaa na kujitafakari, kwa yale ambayo mioyo yetu itatuhumu, hayafai kuvuka nayo mwaka, tukaanze mwaka mpya na mambo mapya.

Maneno haya ya hekima yatuongoze tunapojitafakari.

1 John 3: 18 Katika hili tutafahamu ya kwamba tu wa kweli, nasi tutaituliza mioyo yetu mbele zake, 19 ikiwa mioyo yetu inatuhukumu; kwa maana Mungu ni mkuu kuliko mioyo yetu naye anajua yote. 20 Wapenzi, mioyo yetu isipotuhukumu, tuna ujasiri kwa Mungu; 21 na lo lote tuombalo, twalipokea kwake, kwa kuwa twazishika amri zake, na kuyatenda yapendezayo machoni pake.
 
za mwizi siku hizi ni 20. zimepungua sana.

shost kwani waume za watu wakoje,mbona leo kila thread nna mume wa mtu,nami nitafute nini ila no sitaki vunja ndoa za watu maana me nikamua atasahazu watoto na ukoo mzima,we dada kua na huruma kama mimi,kaa mbali na waume za watu,we unadhani c hatujui kama watamu,tulia hata bachelors watamu wapo
 
we mwanayumba wa mtu,bora urudi kule ulipokimbia mwanzo kwa mapenzi ya rohoni, c umeona leo ndio wimbo wa taifa kila thread

haha haaaaaaaa Suprise yani iiii leo wameamua mbona. Ila hapa imekaa ki utani utani flani kama sio kweli lol.
Huyo wa rohoni ana lake jambo ati!
 
Last edited by a moderator:
shost kwani waume za watu wakoje,mbona leo kila thread nna mume wa mtu,nami nitafute nini ila no sitaki vunja ndoa za watu maana me nikamua atasahazu watoto na ukoo mzima,we dada kua na huruma kama mimi,kaa mbali na waume za watu,we unadhani c hatujui kama watamu,tulia hata bachelors watamu wapo

He he he wa kutafuta na darubini!!
Lakini hawa wengine.......
MBA(Married But Available) Sorce: Lara 1
 
Kilima cha ngolyongo hukwea ngolyongo mwenyewe!!! utapelekewa binti
acha mume wa mtu huyo oooooh!! shauri yakou unachezea moto!!:target:
 
Back
Top Bottom