MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,171
- 23,980
​​Kama kuna mtaalamu wa maswala ya mapenzi na ndoa naomba anisaidie.
Je nini siri ya mafanikio katika ndoa wakati mke hupenda pia wanawake?.
Kwa ufupi:
Nimekuwa katika mahusiano na mpenzi wangu kwa zaidi ya miezi sita. lakini miezi miwili iliyopita aliniangushia kombora la maangamizo ya kifkra na kusema kuwa huwa pia anapenda wanawake na amekuwa katika mahusiano na mwanamke mwingine kabla ya mimi na yeye hatujawa wapenzi, na akasema, hakutaka kunieleza mwanzoni kwa vile alifikiri kama nisingemuelewa na pia hakupata nguvu ya kufanya hivyo(courage) lakini pamoja na kutokufanya hivyo bado wanaendeleza urafiki.
Baada ya maongezi marefu akaniomba kama ningemruhusu huyo rafiki yake kuja na kujumuika pamoja katika tendo la ndoa(threesome).
kwa shingo upande, nilikubali kufanya hivyo. Na kwa mara ya kwanza katika maisha yangu, nikafanya mapenzi ya pamoja na wanawake wawili na pia kushuhudia wanawake wakifanya pia mapenzi. I have to admit, it was great.
Tatizo kwa sasa ninaona kama pendo nililokuwa nalo kwake linaanza kupungua na kuhamia kwa yule rafiki yake ambaye pia ninafikili ananipenda sana kimapenzi.
What can I do to save my relationship due to the fact that my woman cares a lot.
Please, Changia kama una mchango chanya
REMEMBER:
It's better to be silent and be thought a fool, than to speak and remove all doubt.
UPDATES (14th july 2012):
Ninawashukuru wote mliojitolea kunipa ushauri wa bila malipo na kwa kuonyesha you cares a lot pamoja na kuwa yule mpenzi wa mpenzi wangu ameamua kutojihusisha kimapenzi na mpenzi wangu. Sijajua tatizo kuu ni nini kwa vile kila mmoja ana maelezo tofauti.
Nitawataalifu kama nitapata maelezo kamili.Thanks.