mapenzi kama haya tabu

Mr Mayunga

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
313
40
Habari za jioni,hebu naomba tushauriane hili limenikuta.Nina g'fnd wangu anakituko ambacho sijakifurahia,alinikaribisha room kwake siku 1 tu kiukweli tulishea oral sex!lakini baada ya hapo hataki niingie tena ndani ya room yake,nikifika house anayokaa ananistopisha nje,anataka tuongelee nje.Hataki ni mguse.Naombeni mnifumbue ni nini kimejificha hapa?
 
Duuh hapo inabidi ujichunguze kwanza! Mwambie akwambie tatizo ni nini kwani inavyo elekea haitapita mwezi ata kwambia msitishe mapenzi bila wewe kujua sababu. Jaribu kumuuliza ulipo kosea ili ujirekebishe!
 
Habari za jioni,hebu naomba tushauriane hili limenikuta.Nina g'fnd wangu anakituko ambacho sijakifurahia,alinikaribisha room kwake siku 1 tu kiukweli tulishea oral sex!lakini baada ya hapo hataki niingie tena ndani ya room yake,nikifika house anayokaa ananistopisha nje,anataka tuongelee nje.Hataki ni mguse.Naombeni mnifumbue ni nini kimejificha hapa?
Be gentle take it slow .dont be a stalker
 
Hataki ummege halafu usepe si wajua vijana wa sikuhz ,wenyewe mnajisifu mnapiga mhuri.kwan mmekuwa kwenye uhusiano kwa kipindi gani?malengo yako yepi katika uhusiano huo na je umeyaweka wazi kwake?kama hujawa wazi hata ningekuwa miye ningechukua tahadhari wanasema protect yourself.
 
Habari za jioni,hebu naomba tushauriane hili limenikuta.Nina g'fnd wangu anakituko ambacho sijakifurahia,alinikaribisha room kwake siku 1 tu kiukweli tulishea oral sex!lakini baada ya hapo hataki niingie tena ndani ya room yake,nikifika house anayokaa ananistopisha nje,anataka tuongelee nje.Hataki ni mguse.Naombeni mnifumbue ni nini kimejificha hapa?
Kwani kunaulazima sana wa wewe kwenda kwake? Je ukimwita kwako au sehemu nyingine yeyote anasemaje?
 
Habari za jioni,hebu naomba tushauriane hili limenikuta.Nina g'fnd wangu anakituko ambacho sijakifurahia,alinikaribisha room kwake siku 1 tu kiukweli tulishea oral sex!lakini baada ya hapo hataki niingie tena ndani ya room yake,nikifika house anayokaa ananistopisha nje,anataka tuongelee nje.Hataki ni mguse.Naombeni mnifumbue ni nini kimejificha hapa?
Soma alama za nyakati, hutakiwi tena maana alikuona una papara sana wakati wa hiyo oral sex.
 
Habari za jioni,hebu naomba tushauriane hili limenikuta.Nina g'fnd wangu anakituko ambacho sijakifurahia,alinikaribisha room kwake siku 1 tu kiukweli tulishea oral sex!lakini baada ya hapo hataki niingie tena ndani ya room yake,nikifika house anayokaa ananistopisha nje,anataka tuongelee nje.Hataki ni mguse.Naombeni mnifumbue ni nini kimejificha hapa?

Usipoteze muda. Kwa kifupi ni kwamba umeshindwa "INTERVIEW" mashart na vigezo vimezingatiwa. Jaribu sehemu nyingine.
 
Je alifanikiwa kushika kibamia chako?if the answer is YES,no one can help you mr mayunga!
 
Back
Top Bottom