mapato m.240 mgao simba sh m. 51 na yanga m.51 wadau hii ni aibu na unyonyaji mkubwa

elimsu

Member
Aug 27, 2010
31
3
hivi inakuaje gharama za mchezo na vitu vingine vizidi mgao wa wavujajasho huku wengine wakinemeka? inasikitisha sana, huuu ni uwizi wa mchana mchana
 
Wakiwa na viwanja vyao unyonyaji usingekuwepo lakini kwa kuwa vilabu vyetu vinaendeshwa na mafisadi vitabaki kunyonywa mpaka vikome.

Ikiwa pato ni 240m, simba 51m na yanga 5ì kuna vat 48m bado kuna gharama za uwanja , kuandaa mchezo, posho, Tff .
 
Back
Top Bottom