Mapaja na hips artificial

Mshawa

JF-Expert Member
Sep 6, 2011
776
306
Kuna suruali za kike zimeingia mitaani ambazo zina vaccum (nafasi) ambapo baada ya kuvaliwa na ku~pump hujaa na kumwongezea mwili, (hips, mapaja) yake hivyo wakwere wa wa wanawake wakae sawa....
 
Hapo wadada watuteka wengi,maana mwenyewe hips na mapaja huwa ni ugonjwa wangu mkubwa.
 
Back
Top Bottom