Maonyesho ya kimataifa ya dar, mazuri na mapungufu yake

Mkuu hili halikwepeki kwani wengi wa waenda 77 ni watu wa kipato kidogo ambao huenda huko kutafuta bidhaa za kutumia majumbani mwao zinazouzwa kwa bei rahisi. Kumbuka pia waandaaji lengo lao kubwa ni kukusanya pesa wazotumia kwa mwaka mzima hivyo hawawezi watu kuuza bidhaa maana watakuwa wamepunguza idadi ya wahudhuriaji. Hiyo ndo Bongo mkuu.

Mkuu Maonyesho ya Biashara si mahali pa kwenda Kununua Vitu, TanTrade WAJARIBU KUJIFUNZA KUTOKA Maonyesho ya Utalii ya KARIBU FAIR yanayo fanyikaga Arusha kila mwezi wa 6, yale maonyesho huwa nayapenda sana na yana Viwango vya Kimataifa, Huwezi kuta Ujinga kama ule wa kule Sabasaba, kule watu huenda kutafuta wateja wapya na kutafuta contact za wateja na supplaya,

Kwani kariakaoo inakazi gani? Kama watu wataenda kununua SABASABA NA kariakoo je.
 
Back
Top Bottom