Maoni yangu: Wakuu wa Polisi watoke JWTZ

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,488
31,126
Bila kupoteza muda

nilishawahi kushauri huko nyuma jeshi LA polisi tz limepoteza credibility zamani sana

Amiri jeshi mkuu wa majeshi ya jamhuri ya muungano wa Tanzania ukiona inafaa tunaomba wakuu wa polisi watoke kwenye hazina yetu tukufu tunayoiamini ambayo ndio moyo wetu wakifa tumekufa wakiwa hai tuko hai

Jwtz

Ila tuuu wasiingiliwe na wanasiasa

Viva jwtz ziiiiiiiii wala rushwa
 
Igp atoke jwtz wanaaminika mno kuliko hawa polisi waonevu bila sababu japo vyombo vya dola vina ufanano ila bora uonewe na mtakatifu kuliko kuonewa na mla rushwa mpindisha sheria
 
daah.. sasa polisi ifutwe kama nihivyo.. ukifanya kosa.. waje jwtz kukukamata.. ndipo hapo UTAJUA MAHARAGE NI MBOGA AU FUTARI.. acha wabaki na formation yao hiyo hiyo... JWTZ ijitegemee na jeshi la pilisi pia Lijitegemee
 
Bila kupoteza muda

nilishawahi kushauri huko nyuma jeshi LA polisi tz limepoteza credibility zamani sana

Amiri jeshi mkuu wa majeshi ya jamhuri ya muungano wa Tanzania ukiona inafaa tunaomba wakuu wa polisi watoke kwenye hazina yetu tukufu tunayoiamini ambayo ndio moyo wetu wakifa tumekufa wakiwa hai tuko hai

Jwtz

Ila tuuu wasiingiliwe na wanasiasa

Viva jwtz ziiiiiiiii wala rushwa
Haya majeshi mawili yana majuku,mu tofauti sana. Polisi ni usalama wa Raia na Mali zao, wakati Jeshi ni ulinzi wa mipaka. Pili IGP toka Jeshini unadhani ndiye atayepiga Patrol, kukaa Counter, Kupeleleza kesi? Mimi sioni kama ni suluhisho labda iwe kwa nia ya Wanajeshi kupewa wilaya na Mikoa kuongoza.
 
Bila kupoteza muda nilishawahi kushauri huko nyuma jeshi LA polisi tz limepoteza credibility zamani sana Amiri jeshi mkuu wa majeshi ya jamhuri ya muungano wa Tanzania ukiona inafaa tunaomba wakuu wa polisi watoke kwenye hazina yetu tukufu tunayoiamini ambayo ndio moyo wetu wakifa tumekufa wakiwa hai tuko hai
Jwtz

Ila tuuu wasiingiliwe na wanasiasa Viva jwtz ziiiiiiiii wala rushwa

Mkuu, JWTZ wanasomea mbinu za kupigana vita, kuua adui na kuangamiza kabisa, pamoja na huyo mkuu wa JWTZ. Polisi wanasomea mbinu za kukabiliana na uhalifu, kupeleleza kesi na kudhibiti vurugu bila kuua. Sasa kama huku sio kukurupuka, utamchukuaje mtu wa JWTZ akaongoze Polisi?

Siku moja utapendekeza daktari wa meno akafanye kazi ya daktari wa ubongo kwa kuwa wote wanajua kuchoma sindano. Nitapendekeza huyo daktari aanze na kukuhudumia wewe tuone kama utafurahia.
 
Last edited:
Inawezekana..ili kurudisha heshima ya Jeshi la Polisi.

Polisi imekuwa ni Idara iliyopoteza muelekeo.....Limekuwa ni jamvi la kuchezea bao na kunywea gahawa kwa Wanasiasa......
 
Bila kupoteza muda

nilishawahi kushauri huko nyuma jeshi LA polisi tz limepoteza credibility zamani sana

Amiri jeshi mkuu wa majeshi ya jamhuri ya muungano wa Tanzania ukiona inafaa tunaomba wakuu wa polisi watoke kwenye hazina yetu tukufu tunayoiamini ambayo ndio moyo wetu wakifa tumekufa wakiwa hai tuko hai

Jwtz

Ila tuuu wasiingiliwe na wanasiasa

Viva jwtz ziiiiiiiii wala rushwa
I think shida ni mfumo. Hata wakitolewa jwtz wakapelekwa polisi.. bado watakuwa vile vile sababu wanasias watakuwa na njia ya kuwatumia polisi kama kawaida.

Hapa ni mfumo wa amri ndani ya polisi urekebishwe ili isiwe rahis wanasiasa kuliktumia hili jeshi kwa sababu zao wenyewe
 
Tambua wanasiasa wote wanaliogopa jwtz
 
Tatizo sio jeshi la polisi. Shida iko kwenye mfumo wetu ambao unaruhusu wanasiasa kuingilia kazi za polisi. Wanasiasa ndio wamesababisha polisi kuonekana kituko
 
Majeshi yetu chini ya Amiri Jeshi ambaye ni Rais yapo kisheria. Kila jeshi lina majukumu yake mahsusi; yote yakilenga kuimarisha ulinzi na usalama wa nchi kwa kufuata taratibu zilizowekwa (Standing Orders). Kasoro miongoni mwa askari ni zao binafsi.
 
Wenzetu Uganda wamefanya Sana hilo! General Kale kayihura huyu ni mwanajeshi wa Updf ila aliteuliwa kuwa Igp wa Uganda, Jenerali Katumba Wamala aliwahi kuwa mkuu wa polisi Uganda, halafu aliteuliwa kuwa chief of defense forces wa Uganda!
Cha muhimu sheria ya polisi na polisi wasaidizi ifanyiwe marekebisho, police general order, halafu mafunzo ya jeshi yaongezewe baadhi ya masomo ya polisi, halafu mtu aliteuliwa kuwa Igp kutoka jeshini asilipwe mshahara wa Igp alipwe ule wa Jenerali (maana nasikia kuna tofauti ya mishahara),
 
Back
Top Bottom