MAONI YAKO NI YA MHIMU SANA HAPA, USIPITE BUREBURE!!@bamka!!

bampami

JF-Expert Member
Nov 5, 2011
5,697
4,107
"Unaitajika ushauri wako katika hili mwanajf:

katika familia moja iliyodumu
kwa muda mrefu pasipo
mtoto,wakiangahika huku na kule ili wajue nini na nani ni chanzo.

Na baadaye madaktari bingwa
wakagundua kuwa baba ndiye
mgumba.

Ikatokea kheri siku moja mama akashika mimba. Katika
kujifungua inabid apone
mmoja kat ya mama au
mtoto.

Ungekuwa ni wewe umealikwa/umeombwa utoe Ushauri daktari, ungemshauri
amuokoe nani kati ya mama na mtoto?".
 
Hata mtoto wa primary anaweza kujibu hili!
 
jibu ni simpo tu.
Jibu simple kama kusubiria mshahara?

attachment.php
 
Bora afe mama,
ili nimuoe yule nyumba ndogo Amina wa Buguruni.
Yeye atamlea mwanangu.
:lol::lol::lol::lol:

Maana Shati lililotoboka ndio dekio jipya
 
yani hata ukimshwa usingizini unajibu fasta tu kua ni ..............teh teh teh!
 
yani hata ukimshwa usingizini unajibu fasta tu kua ni ..............teh teh teh!

CUTE nimekumiss, niko radhi kuharibu saum yangu kwa ajili yako, si unajua mambo ya nzi kufia kidondani?
 
Last edited by a moderator:
itategemea na wakati huo utakaponifika. Kwa sasa siwezi jibu. Ila moja ni kuwa kama baba kagundulika ana tatizo basi huyo dogo sie kabisa nachinjia mbali toto. Nabaki na mke wangu tunakula raha mtoto majaliwa.
 
Back
Top Bottom