Maoni ya Mnyika dhidi ya hotuba ya rais ya mwezi Juni

Ukisikia kudandia hoja ndio huko. Ulikuwa huna ubunifu wa kujuwa yote hayo mpaka umsikie Kikwete? hapo ndipo unapotudhihirishia kuwa wewe ni dhaifu wa hoja.

Uchukuwe hoja za mtu uzigeuzegeuze halafu uje humu na uende bungeni ukajidai hoja zako? Kijana naona umeishiwa kama Lema na Slaa.
Mr. Layman hapa hakuna swala la ubunifu juu ya maslahi ya taifa, kijana anazidi judhihirisha udhaifu wa mwenyekiti wako.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Ukisikia kudandia hoja ndio huko. Ulikuwa huna ubunifu wa kujuwa yote hayo mpaka umsikie Kikwete? hapo ndipo unapotudhihirishia kuwa wewe ni dhaifu wa hoja.

Uchukuwe hoja za mtu uzigeuzegeuze halafu uje humu na uende bungeni ukajidai hoja zako? Kijana naona umeishiwa kama Lema na Slaa.

Alichofanya mh mnyika ni kuichambua hotuba ya Mh rais,kwa kuonyesha mapungufu ambayo labda yanaweza kurekebishwa,sasa wewe unataka atoe maoni juu ya hotuba kabla ya hotuba yenyewe?wewe pia ni dhaifu.
 
Eti serikali itoe maelezo kwa nini Rais hakuhutubia tarehe 30 june.yaani nilipofika hapo tu nimeamini HUYU MVULANA ANA AKILI FINYU SANA.
Hivi mnyika ni nani hadi utake kumpangia bosi wa nchi hii lini ahutubie?
We kijana huna nyimbo.ndo maana hata bungeni unahangaika kama kuku anayetaka kutaga.YOU SO FULL OF NOSENSE.HIVI WANAUBUNGO WALIKUCHAGUA ILI UWE UNATULETEA PUMBA ZAKO HAPA.
Sasa deal lenu la kuvuruga nchi limegonga mwamba.NCHI HAITATAWALIKA HUMU JF kwingine LIFE GOOSE ON.
 
so JK atatuletea madaktari toka china...:eek2:
ivi katika madai yooote ya madktari mbona serikali imeshilia moja tu la mshahara???mbona hawasemei huduma mbovu,kukosekana vifaa ya utabibu vya msingi mf machine nk????
halafu kama uchunguzi unaendelea mbona amekaza kuitetea serikali si waachie icho chombo kitoe jibu?

anaboa kishezni uyu jamaa
 
Alichofanya mh mnyika ni kuichambua hotuba ya Mh rais,kwa kuonyesha mapungufu ambayo labda yanaweza kurekebishwa,sasa wewe unataka atoe maoni juu ya hotuba kabla ya hotuba yenyewe?wewe pia ni dhaifu.

Hana alichochambuwa anarukia hoja tu.
 
MAONI YA MBUNGE WA UBUNGO KUHUSU HOTUBA YA MH. DKT. JAKAYA KIKWETE RAIS WA TANZANIA KWA WANANCHI TAREHE 30 JUNI 2012

Leo tarehe 1 Julai 2012 kumesambazwa katika mitandao ya kijamii na baadhi ya vyombo vya habari hotuba ya Mh. Dkt. Jakaya Kikwete Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa wananchi inayotajwa kutolewa tarehe 30 Juni 2012.

Kufuatia hotuba hiyo na kufuatia mwito kutoka wachangiaji wa mitandao ya kijamii na baadhi ya vyombo vya habari kutaka maoni yangu kuhusu hotuba husika, naomba nichukue fursa hii kutoa maoni kwa nafasi yangu ya ubunge kuhusu hotuba tajwa kama ifuatavyo:

Hotuba hiyo ya Rais imeibua mjadala na masuala ambayo yanahitaji kujadiliwa bungeni katika mkutano wa nane wa Bunge unaoendelea hivyo, serikali isiendelee tena kutumia kisingizio cha mahakama kulizua bunge kujadili masuala husika wakati yenyewe inayajadili na kuyatolea maelezo na maelekezo pamoja na kuchukua hatua hususani kuhusu suala la mgomo wa madaktari.

Hotuba hiyo ya Rais ukindoa suala la usafirishaji haramu wa watu nchini inaelekea kuwa ndiyo kauli ya Serikali ambayo Waziri Mkuu Mizengo Pinda aliahidi kwamba ingetolewa bungeni lakini baadaye serikali ikasema haitatoa kauli. Uamuzi wa Serikali kuitoa kauli hiyo kupitia hotuba ya Rais una mwelekeo wa kukwepa wabunge wasijadili hotuba husika na pia wasitimize wajibu wa kikatiba wa ibara 63 (2) wa kuisimamia serikali kwa niaba ya wananchi.

Hivyo, Ofisi ya Rais na Ikulu wanapaswa kutoa maelezo kwa umma sababu za Rais kutolihutubia taifa tarehe 30 Juni 2012 kama ilivyotangazwa katika baadhi ya vyombo vya habari vya kielectroniki na badala yake hotuba ya Rais kusambazwa tarehe 1 Julai 2012 kupitia mitandao ya kijamii na baadhi ya vyombo vya habari na iwapo masuala ya hotuba hiyo kuhusu mgomo wa madaktari ndiyo yale ambayo Waziri Mkuu Mizengo Pinda alikusudia kuyaeleza bungeni.
Naona Mh Mnyika anazidi kutoa ushahidi wa kile alicho kisema bungeni...
 
Eti serikali itoe maelezo kwa nini Rais hakuhutubia tarehe 30 june.yaani nilipofika hapo tu nimeamini HUYU MVULANA ANA AKILI FINYU SANA.
Hivi mnyika ni nani hadi utake kumpangia bosi wa nchi hii lini ahutubie?
We kijana huna nyimbo.ndo maana hata bungeni unahangaika kama kuku anayetaka kutaga.YOU SO FULL OF NOSENSE.HIVI WANAUBUNGO WALIKUCHAGUA ILI UWE UNATULETEA PUMBA ZAKO HAPA.
Sasa deal lenu la kuvuruga nchi limegonga mwamba.NCHI HAITATAWALIKA HUMU JF kwingine LIFE GOOSE ON.

Wewe ndiye unayefikiri kwa kutumia masaburi na rais wako dhaifu,hivi aliyejipangia kuwahutubia wananchi kila mwisho wa mwezi ni nani? hivi tar- 1 imegeuka kuwa mwisho wa mwezi au tupe sababu za msingi zilizomfanya ahutubie tar-1 badala ya tar-30.mijitu kama nyinyi ni lazima mtakuwa na elimu ya kununua vyeti tu,ungekuwa karibu yangu ningekulamba kenge mkubwa ww!. HIVI UKIULIZWA SWALI LA KIZUSHI RAIS WAKO DHAIFU AMEJIPANGIA MUDA GANI WA KUWAHUTUBIA WANANCHI,UTAJIBU NINI MWANZO WA MWEZI AU MWISHO WA MWEZI? hivi ww na mnyika pumba nani?.
 
Jamani naomba kuuliza, hivi hawa wakina Lema wanakapokea kale kaposho walikokuwa wanakagomea kwa maslahi ya wananchi?

Au kazi yao ni kupinga tu?
 
umedhihirisha kwamba bosi wako ni nape,unaangalia spelling badala ya content.kama tu bosi wako anavyotaka real ID za members badala ya ku-attack hoja ya mtu................mmedundaaaaaaaaaaa

Kama mtu wewe mwenyewe HUJITAMBUI
UTATAMBUA LA MWENZAKO?
Maliza tatizo linalokuzunguka, ndiyo u'deal na ya nje yako .
 
Nakubali rais ni dhaifu, kwasababu alitakiwa kufukuza kazi madokta wote waliogoma na kutangaza ajira mpya. Wapo kibao huku kitaa hawana kazi. Aisee Nyumba safi ya kuishi na bado unapewa kamshahara!!?
 
lililoongelewa bungeni haliwezi kushtakiwa, lililopo mahakamani haliwezi kujadiliwa bungeni, kwa maneno rahisi ni kuwa MJADALA WA BUNGE HAUATHIRI MAHAKAMA, labda tumekuwa wajinga wa mahakama!
WABUNGE JADILINI.

Wabunge wamejitahidi sana (hususan wa kambi ya upinzani) kuomba jambo hili lijadiliwe lakini bi KIROBOTO amekuwa mbabe na kuwakalisha chini kuacha kuzungumzia suala hilo.
 
Mnyika ana endelea kuwa onesha watanzania jinsi jk alivyo dhaifu.

Big up
 
Nakubali rais ni dhaifu, kwasababu alitakiwa kufukuza kazi madokta wote waliogoma na kutangaza ajira mpya. Wapo kibao huku kitaa hawana kazi. Aisee Nyumba safi ya kuishi na bado unapewa kamshahara!!?

take it seriously! How many doctors we have?
 
Back
Top Bottom