Maoni ya Lucy Mayenga (Mb) Kuhusu Bunge lililoahirishwa leo

kwa Tundu Lissu sina tatizo naye kwani hata Kikwete alisema ni baora Dr Slaa awe rais kuliko Tundu Lissu kuwa Mbunge,he knows much about rabbish of Kikwete alivokuwa waziri wa nishati na madini alivofisidi nchi
 
dada mchemfu sana yule alikera sana na maneno yake ya mtaani. fikra zake ni sawa na za mtoto wa darasa la pili D. ajiondoe tuu bungeni maana ni aibu sana.
 
huyo anasumbuliwa na wivu,ni kawaida kwa mtu ambaye hana kitu kichwani kuongea utumbo kama huo,kwani aliomba kuchangia akanyimwa!?,na hii itapunguza wabunge wasio na kitu kichwani kusimama na kuongelea mswada,watu kama akina maji marefu, lameck airo inabidi watu kama hao bila kumsahau lucy mayenga inabidi wawe wanaingia na pipi katika vikao vya bunge kuepuka mdomo kunuka.

Pipi Mkuu huwa wanapewa fuatilia vizuri vikao vya Bunge huwa kuna visahani kwenye meza zao. Hivyo waendelee kumung'unya pipi tu Mkuu! Ila sijui kama hazitawaleta madhara maana tangu asubuhi unalamba pipi mpaka jioni siyo mchezo!!!
 
Nilihoji jana kuhusu hii kauli ya Mh. huyu kwamba wapo wanasheria waliobobea huko bungeni. Wepi hao na wamebobea kwenye nini? Chenge na legacy ya mikataba mibovu & takrima law? au Werema na muswada wa katiba ulio na makengeza? Pengine huyu Mh. angetusaidia nini hasa tafsari yake ya neno 'bobea' maana kuna kama taifa tunaugua vidonda ndugu kutokana na utendaji uliobebea!

….I personally know the lady, she is ultra-opportunist and very cheap to buy...kwa kifupi anapenda sana kuhonga wakati wa kampeni, alianza na ubunge wa viti maalum-vijana, sasa ni kinamama toka Shinyanga...ni Lowassa's Camp,... rumours are that her move to switch from Christianity to Islamic were for political and economical advantages rather than faith-based...

whaaaattttt????
 
<br />
Hiyo nimeipenda, kichwa hiyo pekee ni sawa na werema 300.
<br />

Itabidi hii sekretatieti ya CCM iangalie hata wagombea wao; huwezi kumshinda mtu mwenye hoja kama wewe huwezi kujenga hoja lazima utaonekana una pwaya tu. Wabunge wa CDM wengi niwazuri kwasababu ya ushindani uliopo kati ya upinzani na CCM maana si rahisi ku convince watu almost 100% kama wewe hujui kujenga hoja maana ushindi kwenye vyama vya upinzani nipale anapoi liteka jimbo kwa more than 90% maana ushindi ukiwa margine CCM lazima wanapiga factor iende kwao. Hii bila kujua CCM inachangia katika kuwa chuja wabunge wa upinzani na makapi yakabaki kwao.
 
kichwa kimoja cha tundu lissu ni sawa na wabunge 150 wa ccm ama kweli lissu ni noma

Hata mwenyekiti wa CCM taifa, JM Kikwete akiwa kwenye kampeni jimbo la Singida Kaskazini aliwaasa wana CCM kuwa ni afadhari Dr Slaa awe rais kuliko Tundu Lissu kuwa mbunge
 
Hajui majukumu ya mbuge na sidhani kama kuna ubaya mtu aukitumia kipaji na utaalamu wake kwa maslahi ya taifa. Kama kutetea maslahi ya taifa ni kutafuta umaarufu, kuna ubaya gani basi iwapo mtu ataupata huo umaarufu na watanzania tukafaidika na sheria nzuri?

Kama wabunge wenyewe ndo hawa...

Yetu Macho
 
kichwa kimoja cha tundu lissu ni sawa na wabunge 150 wa ccm ama kweli lissu ni noma
Umejidanganya mpaka unaonekana mzoga. Lisu kawafungasha chadema kuhusu wabunge wa EALA umeona kilichowakuta. Angekuwa na uwezo huo angevunja hoja za kikanuni zilizotolewa. Pia sheria zote wanazozilalamikia zimepita akiwamo. Mh Mayenga ujumbe wake umefika
 
Huyu dada mwenzangu akiwa form 6 1997 alikuwa anasema waziwazi kwamba atakuwa mbunge,alikuwa akitaja jina la mh Ntimizi kuwa wanafaamiana sana,mtoto wa ntimizi alikuwa bf wake hii ni kwa mujibu wa yeye mwenyewe alivyokuwa anaongea na watu
Hao wakina ntimizi huyo lucy hapa ndio tuanpotaka CCM ifumuliwe upya na hawa watu wa kuunga unga na kurudia sura zilezile hawana nafasi katika Chama kitakachoenda kwa kasi ya 4G. Sikuona sababu ya mtu kama Mama wa kanisa kupewa ubunge tena wa viti maalumu. Polepole tuwekeeni watu wenye elimu na uweledi kwenye chama
 
hoja hupingwa kwa hoja ... uhodari wa hoja hutokana na mtoa hoja ... yeye kwa ubobezi wake katika sheria, kwanini asichane na akina lisu et al ...
 
Naona Lissu anawaumiza vichwa sana,wapi nimetambua huo upuuzi uliouandika?Rudi usome tena.Maboya yapo Chama Cha Mauaji.

Hivi kuna wabunge wa CCM bungeni au kuna wanachama wa NEC ya CCM bungeni wanaofanya kazi ya CCM badala ya kufanya kazi ya wapiga kura wao??

Hivi unajua maana ya MBUNGE lakini??Kama hujui ni bora kunyamaza
Mbunge anawajibika kwa maslahi ya makundi manne mpiga kura wake, kwa chama chake kilichompa ridhaa, kwa taifa lake na yeye mwenyewe binafsi. Hivyo mbunge anabaki kuwa ni mwenye kuangalia maslahi yote hayo. Akiona swala husika linalengo la kukiathiri chama chako hawezi kuliunga mkono. Pia ikiliona swala ni la maslahi kwa taifa hata kama linakiathiri chama chake ataliunga mkono.
Kwa hiyo mifano ya ufafanuzi michache utakuwa umeelewa. CCM wamekuwa wakifanya uamuzi mbalimbali ambao ulikuwa kwa maslahi ya taifa na ulikuwa unakiathiri chama. Mfano sakata la Richmond na Escrow. Uamuzi ulitolewa na wabunge wengi wa ccm ambao ndio wafanya uamuzi. Ukibisha kwa hili nitajua nawasiliana na mtu gani. Wabunge wa ccm wanaongoza kwa kuangalia maslahi ya taifa.
 
Ubunge EALA,ni kuwakulisha nchi so in lazima kuwa na watu anbao no competent na wenye uwezo Wa kujenga hoja na kuitetea nchi yetu,ili watanzania waweze kunufaika na huu muungano,wenje & masha the right persons.
 
Mbunge anawajibika kwa maslahi ya makundi manne mpiga kura wake, kwa chama chake kilichompa ridhaa, kwa taifa lake na yeye mwenyewe binafsi. Hivyo mbunge anabaki kuwa ni mwenye kuangalia maslahi yote hayo. Akiona swala husika linalengo la kukiathiri chama chako hawezi kuliunga mkono. Pia ikiliona swala ni la maslahi kwa taifa hata kama linakiathiri chama chake ataliunga mkono.
Kwa hiyo mifano ya ufafanuzi michache utakuwa umeelewa. CCM wamekuwa wakifanya uamuzi mbalimbali ambao ulikuwa kwa maslahi ya taifa na ulikuwa unakiathiri chama. Mfano sakata la Richmond na Escrow. Uamuzi ulitolewa na wabunge wengi wa ccm ambao ndio wafanya uamuzi. Ukibisha kwa hili nitajua nawasiliana na mtu gani. Wabunge wa ccm wanaongoza kwa kuangalia maslahi ya taifa.
Are you serious??? Wanaccm huwa mkiona upepo umebadilika ndio mnaunga tela kwani kipindi kile kafulila anaitwa tummbili mbona ccm hamkutetea?? Siku pinda anasema pesa sio za umma mbona mlipiga makofi??? Nyie ni wanafki hta unakumbuka kodi ya simu?? Mlipitisha nyie ila siku wananchi wanakuja juu ndio mkajifanya kuwaunga mkono!!!

Kma nyie ni wazalendo mbona miswada mibovu imepitishwa kwa kura nyingi za ndiooo bila kuhoji?? Nakumbuka muswada wa cybercrime jinsi mkosamali lissu na mnyika walivyokuwa wakipambana sana kufa na kupona huku wabunge wa ccm mkichekelea tu kma nyie wazalendo mbona sionagi mkihoji lolote juu ya miswada ile?? Ndio mnajiita wazalendo???

Shame on u..... ndio maana 2015 mlitembelea nyota ya magufuli ila mkae mkijua watanzania wamewachoka no wonder mkasema chagua magufuli sio chagua ccm...... u guys r worthless
 
Chochote kilichopitishwa bungeni hupitishwa na wabunge wa ccm na kwa maslahi mapana ya Taifa la Tanzania. Maneno mengine ya kipuuzi peleka kwa wapuuzi wenzio. Kama sio upuuzi ni nini? Hujui ndani ya bunge ccm imegawanyika sehemu mbili: waliounda serikali na wasiokuwa seriklini.Iliyokuwa ikituhumwa ni upande wa serikali na Mh Pinda alikuwa kiongozi wa serikali ulitegemea asemeje? Wanaccm waliokuwa nje ya serikali wengi walifanya uamuzi na matokeo yake yanajulikana.
Huo ndio ufafanuzi jarabati kwa swali la kipuuzi kuulizwa na mtu unayejinasibisha na mwanasiasa mweye jina nikadhani unauwezo hata nusu yake. Hiki nilikitegemea kwa mwanafunza wa shule ya msingi.
 
Acha kupanick jibu hoja ni lini CCM wameteta maslahi ya taifa tokea mwanzo yaani hoja mfano lugumi then waanze kupambana mpaka kieleweke ??? Ukinipa jibu ndio uanze kejeli

2. Nimesema na mifano nmekupa kuwa ccm huwa wanapima upepo wakiona wananchi wanahasira ndio na wenyewe wanajifanya kuingia upande wa kutetea maslahi ya wananchi???

Niambie saa kwa muktadha huo ni lini mbunge wa ccm alisimamia hoja ya kuisulubu serikali tokea mwanzo sio baada ya wananchi kulipuka kwa hasira kma richmond au escrow au kodi ya simu

Nijibu hivyo tu ndio uendelee na kejeli
 
CCM bungeni inao wabunge wanaunda serikali na wasiouda serikali hivyo kwa maslahi ya taifa walionje ya serikali huwawajibisha wenzao na ndivyo siku zote hufanya bila kujali chama. Hiyo ndio hali halisi. Unaposema maoni ya watu ndio hao wanaotengeneza taifa mbapo wabunge wa ccm wanajali maslahi yao.
 
Mkuu si nmekuomba mfano tu wa hoja ilioanzishwa na mwanaccm ya kuisulubu serikali na akasimama nayo mpaka mwisho????

Nmeshakwambia wanaccm huwa kwanza wanasoma upepo wakiona wananchi wamekuwa wakali ndio utaona na wenyewe wanaunga tela ila huwezi kuta ccm anaanzisha hoja kma lugumi eti anaisulubu serikali au analeta jedwali la marekebisho kwenye miswada mizito ya serikali kma ule wa gesi au cybercrime!!! Kma yupo nipe mfano
 
Mm nimefurahi sana jinsi Tundu alivyowatoa nishai hawa wanaojifanya wazoefu katika bunge Sitta na mwenzie Werema. Ile mashine ni horse power kubwa. Ila katika katiba ijayo hili swala la wabunge kuitikia ndiooo hata kama vitu vibovu tutalifanyia kazi ili iwe mwisho wa uccm ndani ya mjengo
Mkuu kama unaweza dokeza alichokifanya lisu maana nafatilia hapa sijaona mtu akiandika kilichofanywa na lisu
 
Back
Top Bottom