Maombolezo ya Kawawa na Rais Mpirani

OMG! This is 21st Century, WAKE UP!!

OMG ! kumbe Tanzania nayo iko 21st Century !

9534_179942535338_747855338_4355325_7952301_n.jpg

Hivi ni nchi gani umewahi kusikia mambo kama hayo?!

Hivi ni nchi gani umewahi kuona mambo kama haya kwenye 21st Century

shulembuyuuuuu%5B1%5D.jpg

Wakati tunashuhudia haya na tukiwa bado kwenye maombolezo ya kitaifa, Raisi huyu hapa - anamshangilia drogba !

kikwetestarsivry.jpg

Na bado wapo wanaosema aongezewe kipindi kingine kwani kwa hizi zitihada zake labda tutaweza kutwaa kombe la dunia. Je kombe la dunia litawezaje kuwaletea tumaini hawa watoto ?

1056.jpg

Kweli Watanzania tuna priorities za ajabu.
 
OMG ! kumbe Tanzania nayo iko 21st Century !

9534_179942535338_747855338_4355325_7952301_n.jpg

Hivi ni nchi gani umewahi kuona mambo kama haya kwenye 21st Century

shulembuyuuuuu%5B1%5D.jpg

Wakati tunashuhudia haya na tukiwa bado kwenye maombolezo ya kitaifa, Raisi huyu hapa - anamshangilia drogba !

kikwetestarsivry.jpg

Na bado wapo wanaosema aongezewe kipindi kingine kwani kwa hizi zitihada zake labda tutaweza kutwaa kombe la dunia. Je kombe la dunia litawezaje kuwaletea tumaini hawa watoto ?

1056.jpg

Kweli Watanzania tuna priorities za ajabu.​

Halafu kuna wanaodai kuwa kwenda mpirani ni kazi ya Rais,teh teh teh....JF ina vijimambo.
 
OMG ! kumbe Tanzania nayo iko 21st Century !

9534_179942535338_747855338_4355325_7952301_n.jpg

Kweli Watanzania tuna priorities za ajabu.​

hii picha inanifanya nijione nina bahati sana kukaa kwenye dawati primary school.
jamani viongozi fungeni macho mtoe hela kila mtoto akae kwenye dawati inawezekana
 
What a sad story! We were better off 20 years ago than now!!!
 
Nimeona bado kwenye balozi mbalimbali watu wanaendelea maombolezo na kusaini vitabu vya rambirambi.. sijaelewa kwanini..
 
Wakuu naomba kuuliza,
hivi kama ingekuwa ni kipindi cha msiba wa mzee Nyerere kuna mtu angethubutu kwenda uwanjani????achilia mbali raisi wa nchi au kiongozi mwingine wa serikali!!

That's when word "Evolution" gets meaning.
 
OMG ! kumbe Tanzania nayo iko 21st Century !

9534_179942535338_747855338_4355325_7952301_n.jpg

Hivi ni nchi gani umewahi kuona mambo kama haya kwenye 21st Century

shulembuyuuuuu%5B1%5D.jpg

Wakati tunashuhudia haya na tukiwa bado kwenye maombolezo ya kitaifa, Raisi huyu hapa - anamshangilia drogba !

kikwetestarsivry.jpg

Na bado wapo wanaosema aongezewe kipindi kingine kwani kwa hizi zitihada zake labda tutaweza kutwaa kombe la dunia. Je kombe la dunia litawezaje kuwaletea tumaini hawa watoto ?

1056.jpg

Kweli Watanzania tuna priorities za ajabu.
What do you expect kwa watu ambao bado wanafikiria taratibu kama wako 19th/20th Century? Tuko hapo tulipo for some reasons, na mojawapo ni kufikiri kinyumenyume.
 
tatizo unadhani mpira kuonyeshwa lazima iwe LIVE, mi nimesema CNN na BBC walikuwepo, nikimaanisha walikua wanarekodi hilo pambano (na sio lazima iwe kwa taarifa ya habari, labda ni kwa kipindi fulani, sasa mi siwezi jua wataonyesha lini na saa ngapi, na pia wanaweza kutupa hizo materials tusizione milele, waandishi wa habari wanajua material kutotumika kwenye TV, radio au gazeti ni kitu cha kawaida)), kama unabisha juu ya uwepo wao i cant help it as mi najua kuwa walikuwepo!

Mkuu, kuna tofauti ya CNN na BBC kuwepo, na Taifa kuchukua jitihada za kuutangaza uwanja. Sijui kama ni lazima nikueleweshe tofauti kati ya mambo haya mawili. BBC na CNN na hata wengine wote wanaweza kuwepo pale uwanjani na kuonyesha tu mchezo ule kwa jinsi wanavyotaka wao na kwa malengo yao binafsi.

Cha maana zaidi ni utangazaji wa kibiashara wa uwanja. Labda hiyo itasaidia kukuelewesha.
 
hii picha inanifanya nijione nina bahati sana kukaa kwenye dawati primary school.
jamani viongozi fungeni macho mtoe hela kila mtoto akae kwenye dawati inawezekana
Ile bilioni 7 iliyotumika kwa matumizi mbalimbali kwenye pambano la kirafiki kati ya Taifa Stars na Cote D'Voire zingeweza kusaidia kwa kiasi kikubwa kuwapatia watoto hao madawati na si ajabu wakapata na uji kidogo.
 
Kikwete mzee wa mabembea endeleza burudani kama cloudzzzzz efuem...
waacheni wafu wazike wafu wao.
tulio hai wacha tuendelee kula raha hadi umauti utakapotukumba

:p:p:pheheeee i like this... eti kama claudzzzz efuem.... jingle
 
Mwanakijiji,
Inahitajika kama sh.70,000 kwa dawati.Hizo sh.7,000,000,000 kumleta Grogba and co zingetengeneza 10,000 dawatis amabazo zingehudumia watoto 20,000 kama sio 30,000 ambazo ni sawa na shule kati ya 100 na 150.Vilevile maseremala nao wangenufaika kiuchumi.
 
Tukisema hivyo wanatuambia tunalalamika sana; Halafu hayo madawati yangedumu kwa muda gani?
 
Mkuu, kuna tofauti ya CNN na BBC kuwepo, na Taifa kuchukua jitihada za kuutangaza uwanja. Sijui kama ni lazima nikueleweshe tofauti kati ya mambo haya mawili. BBC na CNN na hata wengine wote wanaweza kuwepo pale uwanjani na kuonyesha tu mchezo ule kwa jinsi wanavyotaka wao na kwa malengo yao binafsi.

Cha maana zaidi ni utangazaji wa kibiashara wa uwanja. Labda hiyo itasaidia kukuelewesha.

Mkuu, hapa umeshahama, we si ulikataa uwepo wa hivyo vyombo? na kama nakumbuka vizuri hoja yako ya awali ilikuwa kuwa hakukuwa na international media kwenye hiyo match?
au unabishana for the sake ya kubishana tu, mtu akikushinda hoja hii, unarukia nyingine.

anyway tuhamie kwenye hoja yako mpya basi, maana wengine mna vikombe vya ubishi!

hapo unataka kulazimisha decision makers kutumia njia unayotaka wewe kuutangaza uwanja, kwa nini usikubali kwamba kuna njia nyingi za kutangaza huo uwanja na hii ya mechi na timu kubwa kama IC ni mojawapo?

hivi huoni kuwa waliofikiria waliona kuwa kwa kutumia mechi hii wanaua ndege wawili kwa jiwe moja, wanatangaza uwanja na nchi huku wakiwapa mazoezi wachezaji wao kwa kucheza na timu kubwa?

sio kila kitu kinachofanywa na serikali ni kibaya na sio lazima wafanye unavyoona wewe, ujue hata huko serikalini kuna watu wenye ubongo kama wewe na labda walijadiliana na kuangalia njia zote wakaona hii ndio inafaa, na pia, sio lazima njia yako ndio njia sahihi!
 
we unashangaa la mpira wakati hajaenda hata Kilosa kuwaona wahanga wa mafuriko...
 
OMG ! kumbe Tanzania nayo iko 21st Century !

9534_179942535338_747855338_4355325_7952301_n.jpg

Hivi ni nchi gani umewahi kuona mambo kama haya kwenye 21st Century

shulembuyuuuuu%5B1%5D.jpg

Wakati tunashuhudia haya na tukiwa bado kwenye maombolezo ya kitaifa, Raisi huyu hapa - anamshangilia drogba !

kikwetestarsivry.jpg

Na bado wapo wanaosema aongezewe kipindi kingine kwani kwa hizi zitihada zake labda tutaweza kutwaa kombe la dunia. Je kombe la dunia litawezaje kuwaletea tumaini hawa watoto ?

1056.jpg

Kweli Watanzania tuna priorities za ajabu.​

Mag3 umekuwa unfair kwa JK na Nchi nzima.Mbona hujaweka picha yako mwenyewe na watu wengine.
Its actually absurd in the argument you are trying to establish.
Kwamba watoto hao wanasoma chini ya mbuyu/kusomea chini/kukalia mawe wakati rais wao anshangilia mechi!!
Thats cheap
Wengi wetu ni mabingwa wa kulaumu lakini hata michango midogo kwa ajili ya maendeleo ya jamii ni wagumu mno kujitolea.
Watu wanapiga mahesabu ya mbao za madawati lakini hata kujitolea ubao mmoja ni nongwa.
Charity begins at home and mere hypocrisy does not wash!!!
 
Mkuu, hapa umeshahama, we si ulikataa uwepo wa hivyo vyombo? na kama nakumbuka vizuri hoja yako ya awali ilikuwa kuwa hakukuwa na international media kwenye hiyo match?

au unabishana for the sake ya kubishana tu, mtu akikushinda hoja hii, unarukia nyingine. anyway tuhamie kwenye hoja yako mpya basi, maana wengine mna vikombe vya ubishi!

hapo unataka kulazimisha decision makers kutumia njia unayotaka wewe kuutangaza uwanja, kwa nini usikubali kwamba kuna njia nyingi za kutangaza huo uwanja na hii ya mechi na timu kubwa kama IC ni mojawapo?
Mkuu kama unataka kuwa bingwa wa kujibu hoja zangu, basi nakushauri uzielewe hoja zangu (maana naona umezishupalia sana). Mimi sijawahi kubisha kuwepo kwa chombo chochote kwenye mchezo wowote, kwa kuwa siwezi kuthibitisha uwepo wao. Hata ukiniambia TV za TZ huwa zinakuwepo kwenye mechi za Primier League ya uingereza, na ukanifanya niamini, sitakuwa na sababu za kukubishia. Ila nilichosema (kulingana na hoja yako hapa) ni hiki hapa chini.
Uwanja wa Taifa (mpya) hauwezi kutangazwa ndani ya nchi tu. Kuna njia nyingi na nzuri zaidi za kuutangaza kama tunataka kufanya hivyo. Sijawahi kuona matangazo yoyote ya uwanja huo kwenye DSTv, CNN wala channels nyingine za kimataifa.

Kama unaweza kuelewa vizuri nilichosema (hapo juu), ni kwamba, nimekubali kuwa njia ziko nyingi, na zote zinaweza kuwa zinafaa. Hizo za kuutangaza uwanja kwa kupitia international media ni mojawapo tu. Na nina amini ni njia yenye tija kubwa. Wahusika wa maamuzi ya njia ya kutumia, ndio wenye uamuzi wa kuamua ni njia gani ya kuitumia. Ila kwa vyovyote, utangazaji wa uwanja huo (kama tuna nia ya kuufanyia biashara za kimataifa) ni lazima ufanyike pia kimataifa. Kuwe na makusudi (sio ya siku moja tu) ya kutoa matangazo yanayohusu uwanja huo na ubora wake.

Ubishi sio kitu kibaya, ili mradi ujue unabisha nini. Kitu kibaya ni kukubali kudanganywa hata kama unajua ukweli ulivyo.

Mimi nilichotoa kwenye post yangu ni mawazo ambayo nadhani muhusika mwenye akili anaweza kuyapima kama yanamfaa au anaweza kuyatumia kuboresha hali anayotaka kuifikia. Sijamlazimisha mtu kufanya nilichodhani kinafaa. Kwanza uwezo huo wa kulazimisha sina.

hivi huoni kuwa waliofikiria waliona kuwa kwa kutumia mechi hii wanaua ndege wawili kwa jiwe moja, wanatangaza uwanja na nchi huku wakiwapa mazoezi wachezaji wao kwa kucheza na timu kubwa?

Sijapingana na fikira za mtu yeyote. Naamini pia kuwa kwa kupitia mechi hiyo unaweza kuua ndege wawili kwa jiwe moja. Ninachoona kuwa kingeweza kuwaua hao ndege vizuri, ni kwa kuonyesha mchezo huo kupitia TV za ndani ya nchi na kimataifa pia. Kwakuwa, ni rahisi zaidi kwa wasiojua kuwa uwanja huo upo kuona ili kuweza kupata soko la matumizi. Sisi tuliopo nchini tunajua kuwa uwanja ni mzuri (wa kimataifa)

sio kila kitu kinachofanywa na serikali ni kibaya na sio lazima wafanye unavyoona wewe, ujue hata huko serikalini kuna watu wenye ubongo kama wewe na labda walijadiliana na kuangalia njia zote wakaona hii ndio inafaa, na pia, sio lazima njia yako ndio njia sahihi!
Mtu anaedhani kila kitu kinachofanywa na mtu mwingine au serikali ni kibaya, hayuko serious. Na sidhani kuwa tunao watu wa namna hiyo wengi hapa JF. At least, mimi sio mmojawao. Vile vile, sio lazima mtu atimize ndoto zangu ndipo awe amefanya vizuri. Kwakuwa najua pia, hata mimi hukosea (kama mtu mwingine yeyote). Ushauri hauna makosa. Kosa ni kutokutoa ushauri kama unaona kuna njia zinazoweza kuzaa matunda mazuri zaidi (huitwa uchoyo).

Pamoja na kusema hivyo, naamini kuwa serikali yetu inafanya mengi mazuri. Ila inao uwezo wa kufanya mengi mazuri zaidi. Katika suala la mjadala huu, nadhani kuna kasoro ambazo zimeonekana na baadhi ya wachangiaji. Je, hawana haki ya kusema?
 
Mag3 umekuwa unfair kwa JK na Nchi nzima.Mbona hujaweka picha yako mwenyewe na watu wengine.
Its actually absurd in the argument you are trying to establish.
Kwamba watoto hao wanasoma chini ya mbuyu/kusomea chini/kukalia mawe wakati rais wao anshangilia mechi!!
Thats cheap
Wengi wetu ni mabingwa wa kulaumu lakini hata michango midogo kwa ajili ya maendeleo ya jamii ni wagumu mno kujitolea.
Watu wanapiga mahesabu ya mbao za madawati lakini hata kujitolea ubao mmoja ni nongwa.
Charity begins at home and mere hypocrisy does not wash!!!

Ni kweli Mkuu. Hasa kama hawalipi kodi mbalimbali wanazotakiwa kulipa. Maana hata kidogo tunachokatwa kwenye mishahara na mapato yetu mengine kila mwezi ni michango pia.
 
watu 20 wanamsapoti mwanakijiji kuhusu hii ishu? hata msibani watu hufikia wakasahau kwa muda na kuanza kucheza karata, kunywa pombe, kucheka, n.k au nyie watu 20 hamjafiwa au kuhudhuria misiba?
 
Back
Top Bottom