FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 93,089
- 109,475
Bado jengo la tanesco ubungo, maana alitaka kulivunja wakati ule akiwa waziri akadhibitiwa nadhani sasa ni wakati muafaka wa kulivunja.
Atalisogeza.
Bado jengo la tanesco ubungo, maana alitaka kulivunja wakati ule akiwa waziri akadhibitiwa nadhani sasa ni wakati muafaka wa kulivunja.
Kweli mkuu ngoja tuisome namba
Hapa kazi tu.Tubomolewe ila wasisahau lile jengo jeupe pale pothta.Hivi Msasani wanakuja saa ngapi?
nimeangalia hio video...kwa kweli inasikitisha.
Ccm ni ile ile na hakuna FIDIA mtaisoma namba.
Watu waliomchagua magufuli hawana maduka mwenge wala msasani.fanya tathmini ya kina utapata jibu zuri tu ,isitoshe wilaya ya kinondoni ccm walipigwa vibaya kuanzia urais hadi udiwaniMkome,sii mlivaa vikanga,kofia, t shirt mkidhani ukawa ndo adui.Somen namba hasa watu wa DSM....siwasomi kabisa.
Pombe kaza hapo hapo
Serikali ilikuwa wapi wakati wananchi hao wakivamia?
Wewe ndiye mpotoshaji mkuu. Unajua kuwa enzi za Nyerere ilikuwa nadra sana kuvamia maeneo ya wazi? mji wa Dar ulikuwa na sehemu nyingi sana za wazi siyo uchafu uliopo sasa
Hapa Mwenge opposite magorofa ya Jeshi kazi inaendelea, hasara ni kubwa, kazi imeanza saa kumi usiku mpaka sasa hivi kazi inaendelea.
Bomoabomoa hiyo inaendelea eneo la mwenge karibia na maghorofa ya jeshi, wakazi wa eneo hilo wanadai kuwa hawakupewa taarifa kuwa bomoabomoa inakuja.
Wakazi wa eneo hilo walalamikia hasara kubwa iliyowakumbwa, washindwa kuokoa vitu vilivyoko ndani.
===================
Kwa sababu huo ndo muda muafaka mpaka ukifika uchaguzi mwingine mnakuwa mshasahau. Wakibomoa uchaguzi ukiwa karibu wanajua hamtawachagua
tatizo si sheria za mipango miji kuzingatiwa na wala kuwabomolea si suluhisho, zaidi ni kuwatia hasara tu.
suluhisho ni watu wa mipango miji kuongeza kasi ya kupima maeneo. kasi ya upimaji haiendani na hitajio. ikiwa maeneo yote yatapimwa kwa wakati basi hakuna atakaejenga maeneo yasiyopimwa. leo uwe na hela mkononi lakini kukipata kiwanja kilichopimwa ni big issue na ukikipata basi utashika adabu yako mana salio bank linaweza kusoma zero...