Manispaa ya Arusha yatumia Milion 25mil kuwalipa Origino comedy ili kujaza watu mbele ya JK

Mwan mpambanaji

JF-Expert Member
Apr 3, 2008
482
131
Kesho Arusha itazinduliwa rasmi na Rais wa JMT JK kuwa Jiji.Sherehe zitakazofanyika kwenye eneo la Mnara wa mwenge,na baadae Rais atazungumza na wananchi w Arusha kwenye uwanja wa mpira wa Sheih Amri Abeid.

Kutokana na hali ya kisiasa Arusha kuwa tata,Halimashauri imeidhinisha 15mil kwa ajili ya kundi la sanaa la Original comedy,na 10mil kwa ajili ya msanii Diamond,katika kikao cha madiwani jana kulikuwa na ubishi mkali,kati ya madiwani wa ccm na wale wa CHADEMA.

Mtoa habari wangu alisema kuwa CHADEMA wanapinga matumizi makubwa kwa jambo la muda mchache wakati kuna shule hazina vyoo,na huduma nyingine ni mbaya.Jumla ya gharama zote za kuzindua JIJI ni zaidi ya 120mil,ikiwa ni pamoja na chakula cha mchana kwa mh Rais na ujumbe wake,kinachotarijiwa kuwa 20mil.

Mmoja wa madiwani wa CHADEMA Nanyaro alitoka nje ya kikao kwa madai kuwa hawezi kuwa sehemu ya maamuzi ya kifisadi
 
Kesho Arusha itazinduliwa rasmi na Rais wa JMT JK kuwa Jiji.Sherehe zitakazofanyika kwenye eneo la Mnara wa mwenge,na baadae Rais atazungumza na wananchi w Arusha kwenye uwanja wa mpira wa Sheih Amri Abeid.

Kutokana na hali ya kisiasa Arusha kuwa tata,Halimashauri imeidhinisha 15mil kwa ajili ya kundi la sanaa la Original comedy,na 10mil kwa ajili ya msanii Diamond,katika kikao cha madiwani jana kulikuwa na ubishi mkali,kati ya madiwani wa ccm na wale wa CHADEMA.

Mtoa habari wangu alisema kuwa CHADEMA wanapinga matumizi makubwa kwa jambo la muda mchache wakati kuna shule hazina vyoo,na huduma nyingine ni mbaya.Jumla ya gharama zote za kuzindua JIJI ni zaidi ya 120mil,ikiwa ni pamoja na chakula cha mchana kwa mh Rais na ujumbe wake,kinachotarijiwa kuwa 20mil.

Mmoja wa madiwani wa CHADEMA Nanyaro alitoka nje ya kikao kwa madai kuwa hawezi kuwa sehemu ya maamuzi ya kifisadi.
 
Mkuu, inasikitisha harafu inatia hasira!
-Ni kweli kwani hao jamaa tulitaka waje kwenye sherehe ya kampuni wakata 30M,
-Huyo Almasi nasikia huwa anataka 5M-10M per One Show,
-Najiuliza hao Ze Comedy si ni waajiriwa wa serikali? na
-Kwanini manispaa inafanya matumizi ya kijinga? 120 kwa ajili ya Uzinduzi?
 
What an absurdity kunengua viuno huko hakuna vyoo kwenye masoko na mashuleni!
 
Kesho Arusha itazinduliwa rasmi na Rais wa JMT JK kuwa Jiji.Sherehe zitakazofanyika kwenye eneo la Mnara wa mwenge,na baadae Rais atazungumza na wananchi w Arusha kwenye uwanja wa mpira wa Sheih Amri Abeid.

Kutokana na hali ya kisiasa Arusha kuwa tata,Halimashauri imeidhinisha 15mil kwa ajili ya kundi la sanaa la Original comedy,na 10mil kwa ajili ya msanii Diamond,katika kikao cha madiwani jana kulikuwa na ubishi mkali,kati ya madiwani wa ccm na wale wa CHADEMA.

Mtoa habari wangu alisema kuwa CHADEMA wanapinga matumizi makubwa kwa jambo la muda mchache wakati kuna shule hazina vyoo,na huduma nyingine ni mbaya.Jumla ya gharama zote za kuzindua JIJI ni zaidi ya 120mil,ikiwa ni pamoja na chakula cha mchana kwa mh Rais na ujumbe wake,kinachotarijiwa kuwa 20mil.

Mmoja wa madiwani wa CHADEMA Nanyaro alitoka nje ya kikao kwa madai kuwa hawezi kuwa sehemu ya maamuzi ya kifisadi.

Samahani kwa kuquote lihabari lote lakini nimefanya hivi kwa uchungu mkubwa nilionao tangu baada ya uchaguzi wa zile kata 29 ndugu yangu haya ndio mambo wadanganyika wengi wanayoyashabikia na kuyapenda ushahidi ni ushindi wa kishindo wa ccm juzi.
 
You know it could be great idea, pesa hizi zoooooore zinazotumiwa vibaya na serikali(wao hupenda kuiita Serikali ya CCM) tuziorodheshe..kwa kuwa tuna kumbukumbu nazo..na KAMA CCM ikitaka kurudi madarakani 2015, izirudishe kwanza!
 
Samahani kwa kuquote lihabari lote lakini nimefanya hivi kwa uchungu mkubwa nilionao tangu baada ya uchaguzi wa zile kata 29 ndugu yangu haya ndio mambo wadanganyika wengi wanayoyashabikia na kuyapenda ushahidi ni ushindi wa kishindo wa ccm juzi.

Sasa unaomba msamaha wa nini?

Posts ya kwanza majibu yake ueleweka hakuna haja ya ku quote. Zingine eehhh kama mie nilivyokujibu hapa na kuku quote unajua ni jibu kwa post yako.
 
120m wangetafutiwa vijana shamba na trekta tayari ajira kamili, wake up guyz! comedy na diamond tunawaona kila mara kwa Luninga sio suprise kwetu!
 
Kesho Arusha itazinduliwa rasmi na Rais wa JMT JK kuwa Jiji.Sherehe zitakazofanyika kwenye eneo la Mnara wa mwenge,na baadae Rais atazungumza na wananchi w Arusha kwenye uwanja wa mpira wa Sheih Amri Abeid.

Kutokana na hali ya kisiasa Arusha kuwa tata,Halimashauri imeidhinisha 15mil kwa ajili ya kundi la sanaa la Original comedy,na 10mil kwa ajili ya msanii Diamond,katika kikao cha madiwani jana kulikuwa na ubishi mkali,kati ya madiwani wa ccm na wale wa CHADEMA.

Mtoa habari wangu alisema kuwa CHADEMA wanapinga matumizi makubwa kwa jambo la muda mchache wakati kuna shule hazina vyoo,na huduma nyingine ni mbaya.Jumla ya gharama zote za kuzindua JIJI ni zaidi ya 120mil,ikiwa ni pamoja na chakula cha mchana kwa mh Rais na ujumbe wake,kinachotarijiwa kuwa 20mil.

Mmoja wa madiwani wa CHADEMA Nanyaro alitoka nje ya kikao kwa madai kuwa hawezi kuwa sehemu ya maamuzi ya kifisadi.

Whaaaaaaat?. Ndo maana tunasema kwamba vijana tugombee nafasi za udiwani kupitia vyama pinzani ili kuzuia uozo wa CCM. Sasa unaona upuuzi kama huu unafanyika ili eti kuonesha kuwa Rais anapendwa na watu, wakati hakuna kitu. Kweli hili tukio linatakiwa kuwekwa kwenye matukio ya ajabu kabisa. Sasa wanamdanganya nani?.
 
Watajaza watoto,mtu mzima na akili yake kweli aende kwa ajili ya hao uliowataja!Sijui akina nani...?
 
Isingekuwa nchi ya wachuuzi hizo pesa wangepewa wakulima, potelea mbali hata isiponyesha mvua. Kunengua viuno kuna tija gani kwa taifa masikini kama TZ. Enzi za Mwalimu isingekubalika hata kidogo.

RIP Baba wa Taifa (Mwl. Julius Kambarage Nyerere)
 
Maneno haya ya Azimio la Arusha, 1967 yana maana ikiwa tutayatafakari vema:-

Tumeonewa vya kutosha
Tumenyanyaswa vya kutosha
Tumepuuzwa vya kutosha

Ni unyonge wetu umetufanya tuonewe, tunyanyaswe na tupuuzwe
Sasa tunataka mapinduzi, mapinduzi ambayo yatatufanya tusionewe, tusinyanyaswe na tusipuuzwe tena!

Isiwe unyonge bali isomeke UJINGA!
 
Na wewe kuwa msanii ule hela ya Serikali.Inauma lakini utafanyage kajipange tu uwe na wewe msanii ili isikuume
 
Hii aibu ya matumizi yasiyo na msingi yataishalini???milioni mia na ushenzi mbona zilikua zinatosha kuokoa maisha ya wale mapacha watano waliopoteza maisha kile Geita kwa kukosa gari la wagonjwa kuwapeleka Bungando,au kununua vifaa vya kutunzia watoto wa namna hiyo.hii dhambi itawatafuna sisiemu na madiwani wote wanaotetea uoza huo wa kumkirimu JK na wezi wenzake.
 
Kwenye nchi hii unatakiwa kujineemesha wewe kama wewe usisubiri kuneemeshwa na serikali.Cha kufanya ukipata nafasi ya kudaka mshiko itumie hata kama ikilazimu utumie silaha we fanya tu ilimradi usikamatwe.HAPA NDO tulipofikia.UBEPARI HUWA HAUNA HURUMA UNAJALI KUPATA MALI BY ANY MEANS
 
kwani Original comedy sio watanzania wenye haki ya kutumia kodi yao.

kweli MITANZANIA INA WIVU WA KIKE-by samuel sita
 
Back
Top Bottom