Mange Kimambi amshitaki Wakili Magai wa IMMMA Advocates kwa shambulio

Yo Yo uko wapi ama bado umelewa pombe za kwenye birthday? Eee bwana nilipitia Kempsiki wakati najiandaa kurudi huku mafichoni baada ya ile birthday ya kukata na shoka si nikamwona huyu Mange akiwa kwenye mapozi na hili jamaa mi silijui, kesi yake sijui imefikia wapi naona hapa boops ziko fresh

3093_506322829898_206700453_30562642_2289094_n.jpg
A young unmarried muslim gal........................hivi wanaruhusiwa kuvaa hivi au hata kukaa katika pose kama hii na mwanaume asiye mumewe tena kwenye hadhira?
Au ni picha ya mtu mwingine?!
 
A young unmarried muslim gal........................hivi wanaruhusiwa kuvaa hivi au hata kukaa katika pose kama hii na mwanaume asiye mumewe tena kwenye hadhira?
Au ni picha ya mtu mwingine?!

It’s a free world so let people wear whatever they want to wear and do! Why do people care!

Kama amefanya boob job its her… jamani watanzania hatuna vitu vya kufanya? Maisha yetu yako so duni and all we do is talking about silly people who think they are celebrity! Who have done nothing ( I know) to be called celebrity….lets start mind our own issues and JAMANI EVENIF SHE IS A MUSLIM GAL AND UNMARRIED SHE IS STILL A HUMAN AND OF COURSE A GIRL… SO LET HER LOOK GOOD AND LIVE HER AGE…
 
Yo Yo uko wapi ama bado umelewa pombe za kwenye birthday? Eee bwana nilipitia Kempsiki wakati najiandaa kurudi huku mafichoni baada ya ile birthday ya kukata na shoka si nikamwona huyu Mange akiwa kwenye mapozi na hili jamaa mi silijui, kesi yake sijui imefikia wapi naona hapa boops ziko fresh

3093_506322829898_206700453_30562642_2289094_n.jpg

Uh ooooh...hii picha hata mimi nimetumiwa kwenye email yangu....punde si punde itawekwa zeutamu...

na hilo lijamaa ni li Frenki Ndosi
 
Dogo hiyo inaitwa boob job, ama silicone breast implants, breast implant is a prosthesis used to enlarge the size of a woman's breasts (breast augmentation, breast enlargement, mammoplasty enlargement, augmentation mammoplasty it can cost up to 5000 USD Asia, ulaya na Marekani ni garama zaidi. Mtoto wa Kiislamu bwana huyo....

masanilo, is it true that these so-called boob job can only be fondled with care instead of the maguvu fondling most men seems to use when fondling a woman....hopely, present JF members company exempted!!:D
 
Have no clue about that!
 
Mazee we si mtaalamu ya hiyo kitu?
unakataa responsibilities nini?
 
Ishu ni uislamu wa Mange au ni tabia za Mange? Au ndio kaupenyo ka kukashfu dini za wengine? Kwahiyo ktk ukristo ni ruksa kwa mdada aso' olewa kutinga viwalo kama Mange...eenh? Watu wapo huru kufanya chochote watakacho, alimradi hawavunji sheria za nchi husika, na masuala ya dini ni yao na mungu wao...wewe hayakuhusu!! Sijui watu wengine wapoje.....aaaaghhh!:confused:

Endeleeni na blah blah dhidi ya huyo Nyapu, lakini dini yake muiache kama ilivyo, kwani hata huo ukirisito hauruhusu mademu kuvaa namna hiyo!!

Asante na amani iwe na nawe! AMEEN!
nakupa tano.......anashangaza huyo feminist....naona kaanza taratibu kukandia dini za watu....

mbona kuna wakristo wengi tu wako kwenye madanguro hatusemi?
 
Yo Yo "nakupa tano.......anashangaza huyo feminist....naona kaanza taratibu kukandia dini za watu....

mbona kuna wakristo wengi tu wako kwenye madanguro hatusemi?"

Wakuu kabla mada haijahama na kusababisha mihemuko, nadhani swala la kum-refer huyo dada kama muislam limetokana na hii quote hapa chini iliyopo kwenye malalamiko yake. Inaonekana kama reputation yake anayodai inachezewa haiendani na muenekano wake kwenye hiyo picha!

"She is also claiming 150,000/- in lost jewellery, a hand bag containing $7,000, some 75,000/- in local currency and a mobile phone valued at $820. She also demands general damages for loss of reputation as an unmarried Muslim girl and loss of reputation of her business, damages of humiliation, physical pain, injury of feelings, ridicule and loss of business."
 
Ishu ni uislamu wa Mange au ni tabia za Mange? Au ndio kaupenyo ka kukashfu dini za wengine? ? Watu wapo huru kufanya chochote watakacho, alimradi hawavunji sheria za nchi husika, na masuala ya dini ni yao na mungu wao...wewe hayakuhusu!! Sijui watu wengine wapoje.....aaaaghhh!:confused:

nakupa tano.......anashangaza huyo feminist....naona kaanza taratibu kukandia dini za watu....

mbona kuna wakristo wengi tu wako kwenye madanguro hatusemi?

Kama Mange ni mslamu na hafuati maadili ya uslamu, weye Sabina "Sayi" Maduhu, mtoto wa kikirisito inakuhusu niniiiiiiiiiiiiiiiiiiiii???

Yo Yo "nakupa tano.......anashangaza huyo feminist....naona kaanza taratibu kukandia dini za watu....

mbona kuna wakristo wengi tu wako kwenye madanguro hatusemi?"

Wakuu kabla mada haijahama na kusababisha mihemuko, nadhani swala la kum-refer huyo dada kama muislam limetokana na hii quote hapa chini iliyopo kwenye malalamiko yake. Inaonekana kama reputation yake anayodai inachezewa haiendani na muenekano wake kwenye hiyo picha!

"She is also claiming 150,000/- in lost jewellery, a hand bag containing $7,000, some 75,000/- in local currency and a mobile phone valued at $820. She also demands general damages for loss of reputation as an unmarried Muslim girl and loss of reputation of her business, damages of humiliation, physical pain, injury of feelings, ridicule and loss of business."

Nadhani imeeleweka sasa maana watu wanahemuka out of context.Hakuna mtu kakashifu dini ya mtu hapa... ni reference to ya kilichodaiwa kwenye na mwenyewe mhusika na siyo maneno ya kuwekewa mdomoni.
 
Kwasababu alisema hivyo ndio imekuwa nongwa na asivae kimini wala ki-top? Yeye kasema ni muislamu na hivyo basi ni issue ya Mange na mungu wake, sio yako wewe kujaji! Watu bana....

Kuvaa alivyovaa Mange hakumfanyi yeye asiwe muislamu kama alivyosema, na hata huo ukirisito unakataza kuvaa dizaini ile! Hata sielewi....kaazi kweli!

Wapi imeandikwa kwenye agano jipyaaaaaaaaaa kuwa wakirisito ni ruksa kuvaa vimini na vi-top vya juu ya tovu? Nionyeshe...

YournameisMINE, with due respect, personally I do not care about her religion, the picture, or anything she does. Whatever she is into is absolutely non of my business! The only thing I did was to point out where the issue came from and from what stand point those who are commenting take their cue, basically to try and avoid making this a religious discussion and focus on the context and issue at hand! I have not commented whether they are right or wrong and if you re-read my post you will see that throughout there is no personal opinion in it let alone to judge the girl!
 
Wala hakukuwa na haja hiyo kwani kila mtu anajua kuwa post ya kwanza ya muanzilishi wa mjadala huu, Bwa/Bi. Zanaki ilikuwa na maelezo ya Mange kusema yeye ni muislamu na blah blah blah didida.......hiyo sio issue, issue ni mtu mwingine kuyafufua ati kwasababu tu Mange kavaa kimini na ki-top ndio ana question uslamu wake as if yeye ndo' ale msilimisha!! So, ninyi mlikuwa mnataka avae ka' wale wanawake wa Taliban ndo' mjue kuwa yeye ni bonge la mslamu?? Ni wazi kuwa una miss a point hapa 'dugu, lakini sina muda zaidi.......kazi njema!

1. Huna haki ya kuniambia kulikuwa na haja ama hakukuwa na haja ya kuandika chochote kwenye hii forum
2. Wewe huwakilishi kila mtu hapa, so huwezi kusema kila mtu anajua blah blah blah
3. Nawewe vile vile una-miss the point, swala ni kuwa awe ana dini ama hana, awe amepiga picha uchi ama vyovyote, that is beside the point, the point is kitendo alichofanyiwa (kama amefanyiwa) ni kinyume cha sheria, na ni sawa akitafuta haki yake mahakamani!
4. Personally I do not care anavaa nini ama havai nini, its non of my business!
 
Back
Top Bottom