Mandla Mandela aslimu na kuoa mke wanne

Ulaji wa pork ni kama chakula kingine chochote na mimi huwa nakula bila issues. Kila aina ya chakula dunia hii kina side effect ya kiaina.
Lakini masuala ya ndoa huwezi fananisha na chakula, wanawake kuolewa wengi kwa mume moja kwenye maisha yetu haya ya kisasa na changamoto tulizonazo. Wataliwa sana, kuna mafisi huko nje.
...yah kwa sshv huwezi iona ila its just a matter of time na utakumbuka haya niliyokuambia...
Kuhusu kuoa..dini inasema unaruhusiwa kuoa MWANAMKE ZAIDI YA MMOJA kama tu UNAUWEZO WA KUWAHUDUMIA EQUALLY..!! Na hii "kuwahudumia" inamaanisha kwenye "kilakitu" ss kama huwezi huruhusiwi na ukikaidi unakuwa umetenda dhambi..
 
Back
Top Bottom