Mandatory Life Sentence or Capital Punishment for Corruption exceeding 1Million USD?

Hata kama sheria zitatungwa 100, zitatumiwa vipi kama hakuna intention to prosecute kama ilivyo sasa? Labda wananchi wachukue sheria mkononi kama inavyochukuliwa kwa vibaka ambao hata wakati mwingine hawajaiba na pia wanachoiba hakiumizi jamii kwa ujumla kama vitendo vya hao wezi wakubwa.
TUNAWAUA NA KUWAFUNGA WEZI WADOGO NA TUNAWASHANGILIA WEZI WAKUBWA NA KUWACHAGUA KUTUONGOZA

Sheria zitatumika tu pale washirika wa wizi mkubwa watakapokuwa nje ya uongozi kwani hao ndio wanaoamua nani ashtakiwe na nani aachwe hata kama imeonekana dhahiri wamevunja sheria.
 
Back
Top Bottom