Manager wa TMK bwana SAID FELLA ameamua kuimba taarab rasmi..

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,895
amesha tengeneza nyimbo nyingi na wimbo mmoja ameshatoa video yake ya kwanza yenye mashairi tunajua kupendana hatujui kuachana na hata kinyonga ana wakwake.anasema aliyemvutia kuingia kwenye game ni mwanae marehemu Issa kijoti aliyekuwa 5star.anasema ataendelea kuliongoza kundi la TMK la wakina temba na chege linalo imba nyimbo za bongo fleva.mia
 
Back
Top Bottom