Man United 1 - 2 Crystal Palace

white wizard

JF-Expert Member
May 18, 2011
8,316
13,282
hatimaye manchester united yatolewa kwenye kombe la carling na timu ndogo!haya yote yanatokana na kocha kupanga makinda makinda tu,natoa angalizo sir.alex ferg asipoangalia atakuja stafu kwa aibu kubwa sana.na ndio kikombe ambacho angeweza ambulia kwa msimu huu,kwani hayo mengine(uefa,fa na ligi)maji marefu kwa jinsi timu ilivyo sasa!!
 
wale hawaangalii ushindi peke yake lengo lake ni kuwajengea uwezo hawa vijana wadogo watakuwa mwiba siku za mbeleni
mpira ndivo ulivo Tanzania tunashindwa match kila siku kwa kutegemea wazee eti ndo wanauwezo bila kujengea uwezo chipukizi.
match ilikuwa nzuri sioni ubaya wa ferguson mwenyewe anajua anachokifanya.
 
Ila kwa hatua kama hii sioni kama ni busara kuweka karibu timu nzima watoto hasa kwenye safu ya ushambuliaji!!
 
Ferguson ana akili wewe usidhani anafanya mambo kwa kubahatisha. Amepanga vile makusudi ili atolewe asije kukutana na Man City akapigwa sita zingine (natania). Hamna timu pale, kidomo domo kwisha, jana Arsenal wameonesha mpira safi sana wakaotewa bao moja la kubahatisha mkacheka, sasa leo kubakwa na watoto wa daraja la 2 si dhalili hiyo?!

Man Sita Hoyeeeeee!!
 
hahaaaaa man united bana..haya mkae kitako sasa msubiri kukutana na barca kwenye mtoano
 
Ferguson ana akili wewe usidhani anafanya mambo kwa kubahatisha. Amepanga vile makusudi ili atolewe asije kukutana na Man City akapigwa sita zingine (natania). Hamna timu pale, kidomo domo kwisha, jana Arsenal wameonesha mpira safi sana wakaotewa bao moja la kubahatisha mkacheka, sasa leo kubakwa na watoto wa daraja la 2 si dhalili hiyo?!

Man Sita Hoyeeeeee!!

Aseno-naneeeeeeeeee vp!!!!!, timu iliyocheza jana zidi ya Crystal Palace pamoja na kufungwa haiumizi sana '' it was Third Class Choice Vs Second Class Choice'' on that, do you expect if not only miracles. It was just to empower those Kids ready for next two seasonal coming.
 
Back
Top Bottom