Mamlaka ya zuio la kuowa kwa Makasisi ya Katoliki yalitoka kwa nani?

LICHADI

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
4,150
11,198
Ndugu zangu habari za Leo

Baada ya kisa cha Ugomvi mkubwa kati ya Mjomba wa wangu na Kijana wake nikaona nije hapa kuhoji,Maana Anko ana watoto wanne ila mmoja tu ndio wa kiume, Huyo wakiume alivyosomeshwa tu kumaliza Chuo akataka akataka aingie kwenye huduma za Kanisa asomee Upadri

Mzee wake na mama yake wakaanzisha vita kali snaa kuwa kama yeye ataenda kuwa Padri Nani ataendeleza kile kizazi pale wakati yeye ndio mtoto pekee pale wa kiume,wakimaanisha kuwa asipoowa wala kuwa na mtoto kile kizazi ndio kitakoma pale pale wakamwambia hilo haliwezekani atafute kazi nyingine

====

Kwa mda sana nimekuwa nikiwa na hili swali kwamba kwa nini viongozi wetu wa kanisa katoliki hawaruhusiwi kuoa au kuolewa kwa Masister nimeshajiuliza sana haya maagizo yalitoka kwa nani ila hadi leo sijui

Ukija kwenye Muongozo wetu sisi wakristo tunaongozwa na kitabu kitakatifu cha Biblia kile kitabu ndio kimetupa muongozo namna ya kuishi na kufuata Mambo mema yanayotufaa kuyaishi

lakini katika Biblia Amri za Mwenyezi Mungu zinakataza Kuzini ila hakuna mstari ulio kwenye Biblia unaokataza mwanaume kuowa au kiongozi wa kondoo wa bwana kuowa kama upo basi nisahihishwe hapa

Hata kwenye Biblia manabii wakubwa kama Ibrahim,Mussa,Eliya,Daudi,Mfalme Suleiman walikuwa ni Manabii waliokuwa wanaskia sauti ya Mungu lakini walikuwa na wake na watoto pamoja na Unabii wao

Ila niliskia Papa akisema kuwa Useja ndio njia pekee ya kuwa karibu na MUNGU Yaani kutoowa kwa Makasisi ndio njia nzuri ya kujiweka Karibu na Mungu, Ila Manabii wakubwa enzi hizo ambao walikuwa karibu sana na MUNGU waliowa na wana watoto

Leo Hii Kanisa Katoliki halitaki Makasisi kuowa ila linategemea wanaoowa wazae ili kupata hao Makasisi ila Mtu akishakuwa Kiongozi ni Marufuku kuowa, Na hili swala ndio limepelekea kashfa kubwa sana ya watoto kuingiliwa na hao hao viongozi ambao wamepigwa marufuku kuowa hiyo yote inachangiwa na hizo Sheria

Na kilichoniskitisha Zaidi ni Kanisa Kuanza harakati za Kuwapigania haki wapenzi wa Jinsia moja, Yaani Papa amekuwa Radhi kukataza Makasisi kuowa ili wapunguze kesi za watoto kuharibiwa, ila amekuwa mstari wa Mbele kupigania haki za wapenzi wa jinsia moja hapo ndio nlipochoka kabisa

Ila yote kwa yote swali langu lipo pale pale nawasilisha...
 
Wameamua kuishi kama mtume Paulo lakini kama kuna watu watachomwa moto kwa dhambi ya uzinzi na kuzini basi ni viongozi wa roman catholic, wanajitia kutokuoa lakini tunawajua mademu na watoto wao
 
‭‭Mathayo‬ ‭23:2‭-‬3‬ ‭SRUV‬‬
[2] Waandishi na Mafarisayo wameketi katika kiti cha Musa; [3] basi, yoyote watakayowaambia, myashike na kuyatenda; lakini kwa mfano wa matendo yao, msitende; maana wao hunena lakini hawatendi.

wewe ni Paroko wa parokia gani 🐒

Unamuiga Dr Padre slaaa ee uzalendo umekubana 🐒
 
Wameamua kuishi kama mtume Paulo lakini kama kuna watu watachomwa moto kwa dhambi ya uzinzi na kuzini basi ni viongozi wa roman catholic, wanajitia kutokuoa lakini tunawajua mademu na watoto wao
‭‭Yak‬ ‭4:12‬ ‭SUV‬‬
[12] Mtoa sheria na mwenye kuhukumu ni mmoja tu, ndiye awezaye kuokoa na kuangamiza. U nani wewe umhukumuye mtu mwingine?

We uliyeoa na kuzaa watoto endelea na wala hujawazidi chochote makasisi

Hukumu tumuachie Mungu

Fanya yanayokuhusu ujitengenezee njia ya kufika mbinguni

Mambo yasokuhusu achana nayo
 
Hivi wanakuwa hawana upwiru hao makasisi mana mm nikikaa siku tatu sijapiga mashine nahis mwili ka una vibrate ss wao huwa hawana nyege mshindo au huwa mahanithi
 
Ndugu zangu habari za Leo

Baada ya kisa cha Ugomvi mkubwa kati ya Mjomba wa wangu na Kijana wake nikaona nije hapa kuhoji,Maana Anko ana watoto wanne ila mmoja tu ndio wa kiume, Huyo wakiume alivyosomeshwa tu kumaliza Chuo akataka akataka aingie kwenye huduma za Kanisa asomee Upadri

Mzee wake na mama yake wakaanzisha vita kali snaa kuwa kama yeye ataenda kuwa Padri Nani ataendeleza kile kizazi pale wakati yeye ndio mtoto pekee pale wa kiume,wakimaanisha kuwa asipoowa wala kuwa na mtoto kile kizazi ndio kitakoma pale pale wakamwambia hilo haliwezekani atafute kazi nyingine

====

Kwa mda sana nimekuwa nikiwa na hili swali kwamba kwa nini viongozi wetu wa kanisa katoliki hawaruhusiwi kuoa au kuolewa kwa Masister nimeshajiuliza sana haya maagizo yalitoka kwa nani ila hadi leo sijui

Ukija kwenye Muongozo wetu sisi wakristo tunaongozwa na kitabu kitakatifu cha Biblia kile kitabu ndio kimetupa muongozo namna ya kuishi na kufuata Mambo mema yanayotufaa kuyaishi

lakini katika Biblia Amri za Mwenyezi Mungu zinakataza Kuzini ila hakuna mstari ulio kwenye Biblia unaokataza mwanaume kuowa au kiongozi wa kondoo wa bwana kuowa kama upo basi nisahihishwe hapa

Hata kwenye Biblia manabii wakubwa kama Ibrahim,Mussa,Eliya,Daudi,Mfalme Suleiman walikuwa ni Manabii waliokuwa wanaskia sauti ya Mungu lakini walikuwa na wake na watoto pamoja na Unabii wao

Ila niliskia Papa akisema kuwa Useja ndio njia pekee ya kuwa karibu na MUNGU Yaani kutoowa kwa Makasisi ndio njia nzuri ya kujiweka Karibu na Mungu, Ila Manabii wakubwa enzi hizo ambao walikuwa karibu sana na MUNGU waliowa na wana watoto

Leo Hii Kanisa Katoliki halitaki Makasisi kuowa ila linategemea wanaoowa wazae ili kupata hao Makasisi ila Mtu akishakuwa Kiongozi ni Marufuku kuowa, Na hili swala ndio limepelekea kashfa kubwa sana ya watoto kuingiliwa na hao hao viongozi ambao wamepigwa marufuku kuowa hiyo yote inachangiwa na hizo Sheria

Na kilichoniskitisha Zaidi ni Kanisa Kuanza harakati za Kuwapigania haki wapenzi wa Jinsia moja, Yaani Papa amekuwa Radhi kukataza Makasisi kuowa ili wapunguze kesi za watoto kuharibiwa, ila amekuwa mstari wa Mbele kupigania haki za wapenzi wa jinsia moja hapo ndio nlipochoka kabisa

Ila yote kwa yote swali langu lipo pale pale nawasilisha...
Yesu na wanafunzi wake walioa? Hata jinsi alivyowachagua, ni kwamba wanaacha kila kitu ikiwamo familia, wazazi na ndugu. Na wakatoliki wanarandana na utaratibu huo.

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
MKuu usitake kuwa kama wale wengine. Upadri na kazi kama zikivyo kazi zingine upekee wake ni kwamba unamtumikia Mungu.

Pili kazi ya upadri unatumwa kuwahudumia watu wote wakubwa kwa wadogo wake kwa waume. Hivyo hana muda wa familia.

Mapadri hufanya kazi kama askari usiku na mchana hivyo basi kuwa kwake na familia kunapunguza concenration ya kazi yake. Kumbuka huko mwanzo walikua wanaoa, hivyo kanisa lina uzoefu wa nini kilitokea.

Hivyo, kanisa liliamua kuishi kama Petro kutokuoa ili makasisi waweze kuwahudumia walengwa kwa nguvu zao zote.

Kumbuka makasisi wanakiapo cha kutotoa siri za kitubio kwa mtu yeyote.
Note: samson na Delila, adam na hawa...... mapenzi yana nguvu sana. Hivyo kulinda viapo vyao kutooa.
 
Kinachowasaidia mapadre ni masista Kila palipo na Padre Kunakuwa na masista kadhaa wa kumsaidia baba padre

Hata Askofu Mkuu wa Dar es salaam Ruwaichi ana sista wa kumsaidia.Marehemu Magufuli alipokuwa akiagwa uwanja wa Taifa Askofu Ruwaichi aliwasili uwanjani Kwa mbwembwe kuongoza misa akiwa kaongozana na Sista anayemsaidia

Ukitaka kuhakikisha ninachosema ingia YouTube kaangalie pale Askofu Ruwaichi akiwasili na Sista anayemsaidia majukumu mbalimbali
 
Back
Top Bottom