Fredrick J Mbwambo
New Member
- Jul 3, 2020
- 4
- 93
Mamia ya wananchi wa jamii ya kimaasai Wilayani Same mkoa wa Kilimanjaro wamerudisha kadi za CCM na kujiunga na CHADEMA kwa madai yale waliyoahidiwa tangu 2015 hayakutelezwa.
Wamesema ahadi za maji safi, Barabara, hospital na utatuzi wa migogoro baina ya jamii ya wafugaji yamekuwa hadithi huku mbunge wao Mathayo David (CCM) akiongoza kwa miaka 20 sasa.
"Tumeamua kutafuta Mabadiliko kwingine, umaskini umekuwa ukiongezeka, hatuna imani na CCM tena" alinukuliwa kiongozi wa jamii hiyi ya Kimaasai alieongoza wenzake kujiunga na CHADEMA. Wananchi hao wamepokelewa na Kada wa CHADEMA Fredrick Justine, mwenywkiti wa BAVICHA pamoja na Katibu wa BAWACHA kata ya Same Mjini Mh Haicca Ngowi.