Mamelodi yawapa mbinu Yanga

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
16,228
25,041
Baada ya Mamelodi Sundowns kumtwanga Al Ahly na kuingia hatua ya fainali ya michuano ya African Football League hii inaweza ikawa ni darasa la bure ambalo Yanga SC wamelipata la namna ya kumfunga Al Ahly kwani Wananchi wana kibarua cha kukutana nao kwenye michezo ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika......hakuna kufa kiume

FT: Al Ahly 0-0 Mamelodi (Agg: 0-1).
Fainali ya African Football League ni Wydad AC Vs Mamelodi Sundowns

NB: soka la huku kusini mwa Africa....linawahitaji Yanga na mamelodi Ili kubalance mpira wa Africa
1698909814135.jpg
 
Haahaa mtawayawaya sana mwaka huu. Hii ni sawa na mtu wa facebook tuu anaefanya urafiki na mtu wa mbali tena hamfahamu na kumdharau jirani yake anaeishi nae mtaa mmoja. Utopolo ukitaka codes za kuchukua points kwa Ahly home and away usione aibu, toka hapo matopeni vuka barabara piga hodi msimbazi hapo omba msaada utasaidiwa, Jirani yako ndie nduguyo.

Gamondi amelijua hilo ndio mana alienda kuangalia mechi ya simba na ahly na baadae akaomba namba ya roba akapewa sasa hivi anashinda nyumbani kwa robatinyo
 
Haahaa mtawayawaya sana mwaka huu. Hii ni sawa na mtu wa facebook tuu anaefanya urafiki na mtu wa mbali tena hamfahamu na kumdharau jirani yake anaeishi nae mtaa mmoja. Utopolo ukitaka codes za kuchukua points kwa Ahly home and away usione aibu, toka hapo matopeni vuka barabara piga hodi msimbazi hapo omba msaada utasaidiwa, Jirani yako ndie nduguyo
Utachukua mbinu Gani Kwa failure
 
Haahaa mtawayawaya sana mwaka huu. Hii ni sawa na mtu wa facebook tuu anaefanya urafiki na mtu wa mbali tena hamfahamu na kumdharau jirani yake anaeishi nae mtaa mmoja. Utopolo ukitaka codes za kuchukua points kwa Ahly home and away usione aibu, toka hapo matopeni vuka barabara piga hodi msimbazi hapo omba msaada utasaidiwa, Jirani yako ndie nduguyo.

Gamondi amelijua hilo ndio mana alienda kuangalia mechi ya simba na ahly na baadae akaomba namba ya roba akapewa sasa hivi anashinda nyumbani kwa robatinyo
Ufuatwe kuombwa CODE wakati code hizo zimekutoa nje ya mashindano..!!!
 
Yanga Ina wachezaji wa kuifanya kuwa Bora, nyuma ni 5 Yao, Diarra,Job, Baka na Nondo, katikati Mudathir na Aucho, mbele Pakome, Max, Ki. Ukiona Hawa wote wamo uwanjani moto wake ni WA gesi, weka mbali na watoto!

Kikosi kikiwa na hao jamaa waje Al Ahly watakaa, Makolokwinyo watakaa, Real Madrid inakaa, Brazil inakaa!! Hata ije Bayern Munich inakaa!

Jumapili kukiwa na jua itakuwa safi Sana kuwakanda makolo ambao watacheza kama wanafia uwanjani ila quality ya wachezaji wa Yanga itaamua mchezo! Simba itapigwa kama Ngoma!!
 
Haahaa mtawayawaya sana mwaka huu. Hii ni sawa na mtu wa facebook tuu anaefanya urafiki na mtu wa mbali tena hamfahamu na kumdharau jirani yake anaeishi nae mtaa mmoja. Utopolo ukitaka codes za kuchukua points kwa Ahly home and away usione aibu, toka hapo matopeni vuka barabara piga hodi msimbazi hapo omba msaada utasaidiwa, Jirani yako ndie nduguyo.

Gamondi amelijua hilo ndio mana alienda kuangalia mechi ya simba na ahly na baadae akaomba namba ya roba akapewa sasa hivi anashinda nyumbani kwa robatinyo
Ajifunze kutolewa kikanuni?
 
Yanga Ina wachezaji wa kuifanya kuwa Bora, nyuma ni 5 Yao, Diarra,Job, Baka na Nondo, katikati Mudathir na Aucho, mbele Pakome, Max, Ki. Ukiona Hawa wote wamo uwanjani moto wake ni WA gesi, weka mbali na watoto!

Kikosi kikiwa na hao jamaa waje Al Ahly watakaa, Makolokwinyo watakaa, Real Madrid inakaa, Brazil inakaa!! Hata ije Bayern Munich inakaa!

Jumapili kukiwa na jua itakuwa safi Sana kuwakanda makolo ambao watacheza kama wanafia uwanjani ila quality ya wachezaji wa Yanga itaamua mchezo! Simba itapigwa kama Ngoma!!
Makolo watakufa nyingi
 
Back
Top Bottom