Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,649
- 3,162
Me ni shabiki wa Simba ila hao jamaa niwakawaida na mmewafanya Yanga wapate jina endapo watawatoa.
AU SIO MKUUMe ni shabiki wa Simba ila hao jamaa niwakawaida na mmewafanya Yanga wapate jina endapo watawatoa.
Tumeingia kwenye mtego sura zetu tutaziweka wapi.AU SIO MKUU
HAPA HAPA BONGOTumeingia kwenye mtego sura zetu tutaziweka wapi.
AahaaaaaMe ni shabiki wa Simba ila hao jamaa niwakawaida na mmewafanya Yanga wapate jina endapo watawatoa.
Unataka kuwajaza wana Yanga kwenye huu uzi ili baadae uje kutumia risiti zao, hata kama Yanga ikitokea ikamtoa Mamelod, watakuwa wamemtoa timu bora kwasasa ambaye ni bingwa wa African football league msimu huu. Mamelod sio timu ya kawaida ni timu bora kwasasaMe ni shabiki wa Simba ila hao jamaa niwakawaida na mmewafanya Yanga wapate jina endapo watawatoa.
Aahaaaaa
Naunga mkono hoja mbele na nyuma mkuu
Mamelodi ni unga ltd
Mamelod ni man load tu. Walete wapigwe.Aahaaaaa
Naunga mkono hoja mbele na nyuma mkuu
Mamelodi ni unga ltd
AahaaaMamelod ni man load tu. Walete wapigwe.
full squad Mungu wangu.😁Mamelodi Sundowns’s traveling squad list for the game Young Africans.
Williams,February, Onyango
Zungu Lebusa Lunga Zuko Rushine Coetzee Mudau.,Mvala, Brian Onyango, Grant
Zwane, Mokoena, Allende, Sirino Mathews, Maema Maboe, Mbule, Modiba, Bathusi, Mkhulise
Morena, Matias, Maseko Shalulile Lucas Rebeiro, Nku, Lorch
This is the team which is traveling tomorrow to Tanzania do you see how hard to be Rulani Mokoena he just need 18 players out of all these players to start agaiYoung Africans Sports Clububub
We love you so much Coach.
Daima Mbele Nyuma Tumeweka MwikoMe ni shabiki wa Simba ila hao jamaa niwakawaida na mmewafanya Yanga wapate jina endapo watawatoa.
Bhangi bana.Me ni shabiki wa Simba ila hao jamaa niwakawaida na mmewafanya Yanga wapate jina endapo watawatoa.
Usimdharau mamelody hivo, ukienda na hii mentality atakuadhibu vibaya sana, mpe heshima yake na ucheze kwa nidhamu, ni moja ya timu tishio kwa sasa barani AfricaMe ni shabiki wa Simba ila hao jamaa niwakawaida na mmewafanya Yanga wapate jina endapo watawatoa.
Upo sahihi, Mungu awasaidie yangaUnataka kuwajaza wana Yanga kwenye huu uzi ili baadae uje kutumia risiti zao, hata kama Yanga ikitokea ikamtoa Mamelod, watakuwa wamemtoa timu bora kwasasa ambaye ni bingwa wa African football league msimu huu. Mamelod sio timu ya kawaida ni timu bora kwasasa
Ushanusa hali ya hatari unaanza kujimegea kipande chako mapema, Timu zote zinazocheza na yanga zitaendelea kuonekana za kawaida kwa lazima mpaka mseme na mtasema!Me ni shabiki wa Simba ila hao jamaa niwakawaida na mmewafanya Yanga wapate jina endapo watawatoa.