Mambo Vipi????????Heri ya Mwaka Mpyaaaaaaaaaaaaaaaaa

kokudo

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
2,562
1,704
Poleni na majukumu ya kulisukuma hili gurudumu la MMU hope ni siku kibao hatuonani but niko pamoja na nyinyi kimawazo japo sionekani humu napenda kuwaeleza nawapenda ninyi nyoote pamoja sana
 
Jamani maisha yananipeleka puta dat why sionekani humu but hope mnaniwakilisha vyema
 
Asante mkuu huku hakuna jipya jua tu kama kawa
 
Back
Top Bottom