Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,211
- 42,072
ujue rafiki mie sijui ninaish bado na zile imani za kizamani, iko hivi kila mtu hula sahan yake lkn nataka nyama ziliwe za mwisho baada ya chakula chote, na hii huwafanya kwamba wapime chakula wanachoweza kumaliza yaani wasibakize manake kikibaki basi zibaki nyama.
niliwafunza hivi baada ya kuona baadhi ya watoto wanauchu sana na unapompakulia msosi utaskia niongenzee kidogo af akila kidogo tu tena nyama anaacha utaskia nimeshiba, mie kwangu nikasema spendi wawe na uchu, nataka wajue kuyakadiria matumbo yao na wale msosi wanaomaliza pasi kubakiza makombo.
Mwl gfsonwin hapo kwenye nyama nime papenda sana na hapo umecheza, saa nyingine watoto wanaweza wakaonekana hawajawai kula nyama.
Sasa hapo kwenye kula kila mtu saani yake ni nzuri hila siku moja jaribu kuwaweka kwenye saani moja alaf angalia ulaji wao, maana wengine unaweza kuwaona wanakula vyema sababu wana kula kila mtu ana kula kwenye sahani yake na kuna tabia ya watoto kudhani kuwa mwenzie ana mmalizia.
Sasa unapo kuja kuwaweka kwenye sahani moja unaweza kukuta wana kula kama wako kwenye mashindano.
Ili zoezi linapendeza kwa watoto wanao shahabiana umri.
Na kuna hili swala la mtu kula na huku ana tafuta kama ana tafuna mawe na sauti ina toka kabisa utasikia kwakwakwakwakwakwa
Na hiita tabia ya kula hivi unaweza ukaiona kwa watu wazima ukadhani ni kosa lao kumbe limechangiwa na malezi na wazazi kuto wafunza watoto table manner na hili linaanzia utotoni kabisa na wengi ni sababu ya kila mtu kula kivyake na wengine wamejificha kumbe wana tengeneza tabia.
...
Last edited by a moderator: