Mambo 11 ya kukumbukwa katika Simba Day

AKILI TATU

JF-Expert Member
Feb 10, 2016
2,658
2,804
juzi Simba walisherekea kutimiza miaka 80 toka ianzishwe kwa kucheza na fc leopard ya Kenya ambapo waliweza kuibuka na ushindi wa goli 4-0.

Katika tamasha la Simba day kuna baadhi ya vitu vilifanyika mabvyo kwa upande mwingine viliibua hisia kwa mashabiki wa Simba na Yanga,chini ni video ya Dk 1 inayoyaonyesha matukio yote ambayo hukuweza kuyatazama au kuyaona katika tv station iliyokuwa inaonyesha mchezo huo,wala kuandikwa katika magazeti.

Tahadhari,yote utakayoyaona katika video hii si mtazamo wetu wala hakuna nia mbaya ya kuonyesha hayo ila ni kufunza na kuelimisha jamii haswa mashabiki wa vilabu hivi vikubwa katika siku zijazo

 
Lipi tukio la maana kati ya haya ambalo unahisi tulitakiwa kuliona ila tv zetu hazikulionesha(kama ulivyosema)
uliona mo dewji akilishwa keki?uliona viongozi wa simba wakipungia mashabiki mikono,uliona jinsi watu walivyojazana kwa kutulia kama hivyo,uliona jinsi kichuya alivyokuwa akiwatesa mabeki wa leopard?
 
Ingawa mimi ni Mwanachama wa Simba, ile timu ya AFC Leopards ni ya tisa kwenye ligi ya Kenya. Mwakani wailete Tusker, Gor Mahia, Mathare au Ulinzi.
Summary - Premier League - Kenya - Results, fixtures, tables and news - Soccerway
walintanganywa pointi baada ya kufanta fujo baadhi ya michezo yao ndiyo maana wako nafasu hiyo vile vile mechi za kirafiki hilo siyo issue sana ndiyo maana tulucheza na timu yavkunondoni na ndiyo maana Tanzania tulicheza na Brazil...
 
uliona mo dewji akilishwa keki?uliona viongozi wa simba wakipungia mashabiki mikono,uliona jinsi watu walivyojazana kwa kutulia kama hivyo,uliona jinsi kichuya alivyokuwa akiwatesa mabeki wa leopard?
Hayo ndo mambo ya maana Mo kulishwa keki?
 
Back
Top Bottom