Mambo 10 unayoyafanya yanayo haribu figo lako mwilini

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,331
33,142
1796595_665639453500052_1139422733_n.jpg


  1. Kutokukojoa mapema mkojo ukikushika.
  2. Kutokunywa maji ya kutosha.
  3. Kula chumvi sana kwenye chakula.
  4. Kutokujitibu magonjwa ya kawaida kwa haraka na vizuri.
  5. Kula nyama sana.
  6. Kutokula chakula cha kutosha.
  7. Kutumia Vidonge vya kukata maumivu kwa wingi.
  8. Kutokula kwa wingi vyakula vyenye virutubisho.
  9. Kunywa pombe kupita kiasi.
  10. Kutopumzika vya kutosha.
 
Asante mzizizimkavu. Somo zuri. Swali: 1. Kipimo cha kupumzika tutakijuaje?

2. Virutubisho kwa mfano?
Ndugu tujitahidi sana kula vyakula vya kujenga mwili ili tupate virutubisho vya

kujenga mwili. Vyakula vya kujenga mwili ni kama vile
nyama, samaki, maziwa, maharage, kunde, choroko, njegere, karanga na kadhalika.

Watoto, kina mama wajawazito na wale wanaonyonyesha lazima wale kiasi cha kutosha cha vyakula vya kujenga

mwili. Vile vile kina mama wanaopata siku zao lazima wale vyakula hivyo kiasi cha kutosha ili kufidia virutubisho

vinavyopotea kila mwezi.


Kumpumzika ni kulala kwa usingiz wa kutosha kwa wastani wa masaa 8 kwa kila siku.
 
sasa kaka yangu naomba unisaidie kuhusu
unatakiwa upumzike kwa masaa mangapi
kama wewe ni mfanyakazi/mfanyabiashara
na huna muda wa kupumzika ufanyeje
 
Back
Top Bottom